hahahah!!! eti nyinyi wakina nani??sisi waithilamu hatutampa kura zetu
baada ya magufuli ni Zito kabwehahahah!!! eti nyinyi wakina nani??
Mmeamua kuibuka na mwingine tena,haya...Tibaijuka na Rose Migiro wamewakinai?Kwa speed ya huyu Mh. Waziri, umakini na uzalendo anaouonesha katika kutekeleza majukumu yake ya kila siku katika kuisimamia wizara nyeti ya elimu pamoja na taaluma za wanataaluma wengine, waziri huyu anastahili kuwa Rais 2025. (2020 Rais atabaki huyuhuyu tuliyenae).
Mtaje wa kwako unaemuona anafaa pia bila kujali anatoka chama gani.