Prof. Ndalichako amvaa Makonda

Prof. Ndalichako amvaa Makonda

Ikiwa kweli ishu ni mtaala, Je Mtambani wao wanatumia mtaala UPI? Maana hawana viwanja vya michezo,sins hakika hata vyoo mahususi kwa ajili ya wanafunzi nadhani watakuwa wanachangiana na vile vya waumini, Msikiti upo karibu sana na madarasa Hivyo kuna mwingiliano mkubwa sana wa kimasomo jambo ambalo sio zuri kwenye ujifunzaji, WIZARA IHAKIKI UPYA VIBALI VYA USAJIRI KWA SHULE ZOTE.
Shule ya kiislam hutaki iwe na msikiti karibu? Wewe Konyo kweli
 
Wazazi kwenda wizarani makonda anashangaa? Anataka wafuate ngazi, mbona yy hafuati, anasema wana kiherehere, yy tusemeje?
 
Waweke ada hata milioni 50 kwa mwaka serikali isiwaingilie mzazi atakayeona hawezi ampeleke mtoto wake shule ya msingi Tandika.
isiwaingilie kwenye swala la ada, FEZA milioni saba(7,000,000) mbona hiyo ndogo tu wanalalamika njooni Kata huku maisha izzzeee tu
 
Iyo ada mbona ndogo .waziri anajuwa International school Moshi ni sh.ngapi si angerukwa na kichaa?
 
Anasema watu wafate ngazi lakini yeye alimpigia simu Rais badala ya Waziri wa Ardhi.
Uyu makonda ni wakupuuzwa.
 
Ukitoka kumlea

Je wewe unaamini ni kweli dini inafundisha hivyo
Inawezekana definition ya hilo neo hapo kwenye bold tukawa nayo tofauti, kwangu mimi neon Imani lina maana hi (kidini) Ni bayana ya mambo yatarajiwayo na hakika ya mambo yasio onekana so kwa muktadha wa hiki tunacho kijadiri siwezi ndio au hapana but the truth is, tumesoma wote kwenye hilo andiko so tulipinge au tulikae hilo andiko la gazeti la Jamuhuri na barua za waziri/wizara kwenda kwenye hiyo shule.
 
Nothing involves running over there. We tend to create unnecessary story. The school has been existing for over forty years with so many children and now parents who went to the same school sending there. It is now normal in our society to fabricate stories and accusations. Never heard of the religion that teaches sodomy.
Wazazi si wajinga kiasi kile. Watu hupenda kuzua. By the way, there are so many schools that perform better than Al-Muntazir.
Never heard of the religion that teaches sodomy"umesoma post kweli ?Maana wameadmit na pia kubadili mtaala.Sasa huoni kelele za wazazi zimesaidia
 
Never heard of the religion that teaches sodomy"umesoma post kweli ?Maana wameadmit na pia kubadili mtaala.Sasa huoni kelele za wazazi zimesaidia
We should try to be very careful to preempt judgement. There is no a single statement acknowledging sodomy. Wao wamebadili mtaala. Hakuna sodomy or otherwise. It is probably power struggle between Shia and Sunni. Nothing more.
 
We should try to be very careful to preempt judgement. There is no a single statement acknowledging sodomy. Wao wamebadili mtaala. Hakuna sodomy or otherwise. It is probably power struggle between Shia and Sunni. Nothing more.
“Hawa wamiliki wa shule za Al-Muntazir tulilalamika kwa waziri kuwa wanafundisha watoto wetu katika mtaala kuwa ikiwa mkewe yupo kwenye hedhi, basi dini yao inaruhusu mume kumwingilia mkewe kinyume na maumbile. Waziri alishika mdomo, akabaki kinywa wazi.

Alifanya uchunguzi na kubaini hilo, kisha akawaandikia barua ya kuwazuia aina hii ya mafundisho,” anasema mmoja wa wazazi. Zaidi ya wazazi 50 wamekutana na JAMHURI na kulalamikia mambo kadhaa kwa shule hizo.

Baada ya uchunguzi wa wizara, uongozi wa shule ya Khoja Shia Ithnasheri Jamaat ya Dar es Salaam (ambao ni wamiliki wa shule za Al-Muntazir), uliandikiwa barua yenye Kumb. Na. JA.259/287/07911 ya Februari 18, 2015 ikizuia mafundisho hayo, chini ya kichwa cha habari kisemacho; Yah: Utaratibu wa Ufundishaji wa Somo la Dini.
 
Back
Top Bottom