Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

Kwenye hiyo list ya wajumbe wa bodi, mbona namba (ii) haipo? Wamekosea kuweka namba ama kuna mjumbe wamesahau kumweka? Hii ndio Tanzania.
mimi pia nafanyaga makosa ya kiuandishi kama hii lakini ni kutokana na 'udogo' wangu ila kwa taasisi kama hii ni aibu ya hali ya juu
 
I hate TBC, why do we have it? is misleading our peoples minds.
 
Namfahamu Prof. Possi kama ni mama mwadilifu na mwenye heshima kwa watu wa rika zote na mchapa kazi sana. Kwa kuzingatia hilo, naamini kwamba atakuwa ni agent mhimu wa mabadiliko ya TBC, maana kwa hivi sasa TBC ni kama shirika la utangazaji la CCM. So ni wakati mzuri wa kulifanya liwe la taifa badala ya kuendelea kuwa la chama.
 
Gachuma moja ya wanaccm nambari 1 kanda ya ziwa akiwa na hisa nyingi kwenye kampuni ya coca cola mwanza na hotel ya New mwanza hotel
 
Hii tv inaongozwa na vilaza ukitaka kujua angalia vipindi vyao, ndio utajua inaongozwa na wajinga kama walio Magogoni.
 
hakuna jipya, tena ataambiwa aendeleze uzandiki wa ccm, puuuuuuuu, nawatema! tupa kureeeeeeeeeeeeee!
 
Naona kuna jina la nchimbi hapo! Hata kama hawana ukoo na nchimbi tunayemjua lakini nadhani ni watu wa sehemu moja....mnyororo wa madaraka unaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…