PreGE2025 Prof. Musa Assad(CAG) aibukia CHADEMA, atoa mafunzo

PreGE2025 Prof. Musa Assad(CAG) aibukia CHADEMA, atoa mafunzo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,001
Reaction score
134,194
Leo tarehe 12 Machi 2025 Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad ametoa mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa Chama wakiwemo Wajumbe wa Kamati Kuu, Sekretarieti ya Kamati Kuu, Makatibu wa Kanda na Viongozi wengine
20250312_171803.jpg

20250312_171810.jpg

20250312_171556.jpg

Prof Musa Juma Assad CAG mstaafu ameibukia CHADEMA na kutoa mafunzo wa viongozi.
 
CHADEMA ina Great Minds Mama kajaza Machawa wa kila aina huko.
 
Leo tarehe 12 Machi 2025 Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad ametoa mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa Chama wakiwemo Wajumbe wa Kamati Kuu, Sekretarieti ya Kamati Kuu, Makatibu wa Kanda na Viongozi wengine
View attachment 3267923
View attachment 3267924
View attachment 3267925
Prof Musa Juma Assad CAG mstaafu ameibukia CHADEMA na kutoa mafunzo wa viongozi.

Huyu ni Prof.halisi.Amabaye anafanyaga au kusema kile kilichomo ndani ya nafsi yake.Si dhani wasomi wa kariba hii wako wengi nchini mwetu.Huwa nina mheshimu sana huyu jamaa.Mungu aendelee kumlinda.Halafu nadhani ni kati ya watu wachache sana wanaojua mtu ni nini.Unajua wengi hatujui mtu ni nini.ukijua au kukumbuka hicho huwezi kujivunia cheo wala chochote kinachokupa heshima.Huwezi fikiria kumteka mtu na kumua kwa sababu zozote zile
 
Chadema wamefikiria nini kumualika huyu?
 
Achunge nyendo zake hakiwii kutekwa. Kama kuna kitu ccm hawataki ni kuona watu wenye ushawishi kwa umma wanakuwa karibu na cdm.
Lini Prof. Assad akawa na ushawishi kwa wananchi? Huyo ana wenge tangu Mwamba Magufuli alipomtumbua na bahati mbaya kwake Katiba ya JMT haimtaki haajiriwe popote Serikalini na kwenye taasisi yoyote inayokaguliwa na CAG!
 
Back
Top Bottom