Prof. Muhongo umeme wako utatutoa roho

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,771
7,138
» Bei ya Umeme ni 298/= kwa Unit 1
» Kodi 18% ya kiasi unacholipia
» Service Charge 5,520/= (haijalishi matumizi yako ni 3,000/= au 2,000/= kwa mwezi)

Kwa lugha nyepesi, kwenye 20,000/= utakatwa 9,127/= na kubakiwa na 10,873/=, yaani ni sawa na kwamba hela yako mmegawana NUSU kwa NUSU na aliyekuuzia

Hapo ni Umeme tu.....hujagusa Maji, Makato kwenye Mshahara.....wala hujazungumzia gharama za Hospitalini
1509135_212439109107797_6665995055515118869_n.jpg
 
weziiiiiiiiiiiii sana tanesco..ngoja siku zaja ambapo kutakuwa na umeme km kampuni za cm....
 
ukiweka elfu tano ujibiwi chochote hata kupewa unit moja angalau ukiweka tena ndio wakate, kwa kweli kila mwisho wa mwezi ni maumivu tu.
 
» Bei ya Umeme ni 298/= kwa Unit 1
» Kodi 18% ya kiasi unacholipia
» Service Charge 5,520/= (haijalishi matumizi yako ni 3,000/= au 2,000/= kwa mwezi)

Kwa lugha nyepesi, kwenye 20,000/= utakatwa 9,127/= na kubakiwa na 10,873/=, yaani ni sawa na kwamba hela yako mmegawana NUSU kwa NUSU na aliyekuuzia

Hapo ni Umeme tu.....hujagusa Maji, Makato kwenye Mshahara.....wala hujazungumzia gharama za Hospitalini
1509135_212439109107797_6665995055515118869_n.jpg

Linganisha na kima cha chini cha mshahara wa mtumishi wa umma
 
» Bei ya Umeme ni 298/= kwa Unit 1
» Kodi 18% ya kiasi unacholipia
» Service Charge 5,520/= (haijalishi matumizi yako ni 3,000/= au 2,000/= kwa mwezi)

Kwa lugha nyepesi, kwenye 20,000/= utakatwa 9,127/= na kubakiwa na 10,873/=, yaani ni sawa na kwamba hela yako mmegawana NUSU kwa NUSU na aliyekuuzia

Hapo ni Umeme tu.....hujagusa Maji, Makato kwenye Mshahara.....wala hujazungumzia gharama za Hospitalini
1509135_212439109107797_6665995055515118869_n.jpg
kaazi kwel kwel
 
kaazi kwel kwel

Kwa kweli umeme ni jipu linguine linapashwa kutumbuliwa tena bila ganzi, kila wakati wanasema or ewura wanajipanga kushusha bei lakini hadi sasa maumivu tunayapata kila kukicha. Kila mwanzoni mwa mwezi pasua kichwa kwa makato yao ukinunua umeme wa shs 10,000/=mwanzoni mwa mwezi unapata unit 9 tuu!!. Kwa sasa umeme imekuwa kama anasa maana wengine wanatumia usiku tuu mchana unazimwa kwa kubana matumizi. Proffessor waziri wetu fanya fasta fasta bei zishuke wananchi tufurahie hapa kazi tuu.
 
Profesa Muhongo tusaidie kwa hilo .. Yaani service chaji inakela kweli ukifanikiwa kuitoa hiyo utakuwa umetuokoa sana sisi watu wa hali ya chini.
 
» Bei ya Umeme ni 298/= kwa Unit 1
» Kodi 18% ya kiasi unacholipia
» Service Charge 5,520/= (haijalishi matumizi yako ni 3,000/= au 2,000/= kwa mwezi)

Kwa lugha nyepesi, kwenye 20,000/= utakatwa 9,127/= na kubakiwa na 10,873/=, yaani ni sawa na kwamba hela yako mmegawana NUSU kwa NUSU na aliyekuuzia

Hapo ni Umeme tu.....hujagusa Maji, Makato kwenye Mshahara.....wala hujazungumzia gharama za Hospitalini
1509135_212439109107797_6665995055515118869_n.jpg

kama wewe ni mtumiaji mdogo wa umeme (unatumia chini ya unit 75 kwa mwezi) nenda tanesco kaombe kutolewa kwenye tariff za makato ya service charge utapewa form ya kujaza, baada ya kutolewa huko utaona kuna unafuu mkubwa sana..
 
Kwa kweli umeme ni jipu linguine linapashwa kutumbuliwa tena bila ganzi, kila wakati wanasema or ewura wanajipanga kushusha bei lakini hadi sasa maumivu tunayapata kila kukicha. Kila mwanzoni mwa mwezi pasua kichwa kwa makato yao ukinunua umeme wa shs 10,000/=mwanzoni mwa mwezi unapata unit 9 tuu!!. Kwa sasa umeme imekuwa kama anasa maana wengine wanatumia usiku tuu mchana unazimwa kwa kubana matumizi. Proffessor waziri wetu fanya fasta fasta bei zishuke wananchi tufurahie hapa kazi tuu.
Wakuyatumbua hayo majipu ninani? Kama magu yeye anatumbua vipele
 
Mambo mengne tunawasema tanesco Kwa ukosefu wa maarifa na ufuatiliaji wetu m'bovu wa mambo! Si kweli kuwa tanesco watoza garama Bila kuangalia kipato cha mteja ndio maana wametuwekea makundi tofaut tofaut ya wateja wanaonunua umeme Kwa Bei tofaut tofaut pia yaani wateja wa makundi ya tarrif 1 mpaka 4. Katika makund haya manne unauziwa umeme Kwa Bei tofaut tofaut kulingana na matumiz yako na kipato vle ambapo sis mwenye kipato cha chini(tunaotumia umeme usiozidi 75units Kwa mwezi tunauziwa sh100 Kwa unit badala ya sh300 uliyoweka hii. Kwa mfano mm huu Ni mwezi wa sita nanunua umeme sh100 Kwa unit.

Tangu nilivyowafata ofsn kwao magomeni, wakanipa na elimu juu ya service chaji kuwa hizo Ni garama za dharura zinazochajiwa moja Kwa moja na tanesco Kila mwezi ili kuepusha pale mafund kutuomba hela pale wanapokuja mtaani kwetu kurekebisha line iliyopga shot,nguzo iliyodondoka Ama nyumba ambayo umeme umekatka gafla Au unasumbua
 
Na mm baada ya kupata elimu nikaona kuhusu service charge Ni sawa Kwa sababu Kipi bora tulipie sevice charge 5000 Kwa tanesco ili tukipata tatzo lolote mafund waje kutoa huduma bure????? Au tusitoe kabsa mafund wakija watucharge kuanzia hela ya mafuta,posho na Muda wao???? Ambapo wanaweza kudai hata 50000 na syo laki tena.
 
» Bei ya Umeme ni 298/= kwa Unit 1
» Kodi 18% ya kiasi unacholipia
» Service Charge 5,520/= (haijalishi matumizi yako ni 3,000/= au 2,000/= kwa mwezi)

Kwa lugha nyepesi, kwenye 20,000/= utakatwa 9,127/= na kubakiwa na 10,873/=, yaani ni sawa na kwamba hela yako mmegawana NUSU kwa NUSU na aliyekuuzia

Hapo ni Umeme tu.....hujagusa Maji, Makato kwenye Mshahara.....wala hujazungumzia gharama za Hospitalini
1509135_212439109107797_6665995055515118869_n.jpg
aise mbona wengine mnapendelewa? Mimi niliuziwa umeme wa buku moja units 1.90 nikacheka sana maana yake unit ni jero
 
Back
Top Bottom