Asenga wa Pakaya
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 260
- 61
Hongera Wizara ya nishati na madini
Hongera Prof Muhongo kwa usimamizi mzuri
UJENZI WA BOMBA LETU CHINI YA BAHARI UMEKAMILIKA:
Ujenzi wa bomba la umbali wa km 5 chini ya Bahari kutoka Mnazi Bay hadi Kilindi (6 km nchi kavu kutoka Madimba patakapojengwa Processing Plant) umekamilika.
Ujenzi wa umbali wa km 25 kutoka Kisiwanii Songo Songo hadi Somanga Fungu nao umekamilika.
"Kampuni ya CCP 601 Off Shore ya China ndiyo imekamilisha kazi hizi. Nimetembelea meli (barge) iliyotumika kutandaza bomba chini ya Bahari."
S Muhongo.waziri
Kidumu.