Prof. Muhongo: Nimeshafanya uamuzi

kidesheni

Senior Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
178
Reaction score
35
"Nimeshafanya uamuzi kuhusu suala la Urais katika uchaguzi ujao. Ninachosubiri ni chama kutangaza ratiba"

"Nimeshafanya uamuzi kuhusu suala la Uraisi katika uchaguzi ujao. Ninachosubiri ni chama kutangaza ratiba"

Prof Muhongo. Chanzo Mwananchi jumatatu, Machi 2015
Mpeni moyo, pengine atachaguliwa na maprofesa wenzake.
 
Mpaka october ifike,tutashudia mengi sana!
 
"Nimeshafanya uamuzi kuhusu suala la Uraisi katika uchaguzi ujao. Ninachosubiri ni chama kutangaza ratiba"

Prof Muhongo. Chanzo Mwananchi jumatatu, Machi 2015
Yupi huyo Muhongo
 
Urais dili eh..sijaona mwaka kama huu kila mtu anataka agombee urais afu ndani ya chama kimoja!!! kweli kazi ipo.. ngoja waendelee kupiga makelele ila Rais wangu ni EL!!!:smile-big:
 
Urais dili eh..sijaona mwaka kama huu kila mtu anataka agombee urais afu ndani ya chama kimoja!!! kweli kazi ipo.. ngoja waendelee kupiga makelele ila Rais wangu ni EL!!!:smile-big:
Wewe kweli ulivyo baby wako lazima awe LOWASSA sisi tusio na kwanja hatukuwezi.
 
Professa Muhongo ni miongoni mwa Maprofessa wapumbav hapa Tanzania.
Yaani kuibuliwa kisiasa na Kikwete tu na kupewa ubunge wa viti maalum na Uwaziri wa ukuwadi kwa miaka mitatu tu, eti naye anataka urais?! Nimemdharau kabisa.
 
Wewe kweli ulivyo baby wako lazima awe LOWASSA sisi tusio na kwanja hatukuwezi.

Hahahahah usinitafutie kesi mie EL babu yangu...hamna cha zaidi apo mkuu...EL FOR TZZZ
 
Nchi hii ni ya ajabu sana. Hasa katika kipindi cha miaka kumi iliyopita imepanda chati sana katika maajabu yake. Ukitaka kuwa maarufu hapa ni kuhujumu nchi na kutengeneza mjadala wa kukujadili na mwisho hata kama utafukuzwa au kujiuzulu basi wewe ni shujaa na unastahili kujinadi kuwa waweza kuongoza nchi. Maana yake ni nini? Maana yake ni kuwa ni nchi ya mazuzu ambao kwao mwizi na mfisadi maarufu ni mtu makini. Mfano ni hata ule wa Lowasa, hao hao CCM walimwita fisadi,gamba na majina mengi lakini leo ndio wanapigana vikumbo kwenda kumbeba eti awe kiongozi!
TUMELOGWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…