PROF MUHONGO HAJAWAHI KUWASILIANA NA MAMA CHUWA WA VIPIMO.
Kumekuwa na upotoshaji mwingi kupitia social media na print media kuwa Prof Muhongo alimtumia sms mama chuwa wa WAM ili awashe mitambo ya flows meters.
Prof muhongo hajawahi kufanya mawasiliano ya aina yeyote na mama chuwa ambeye yuko china ya wizara ya viwanda.
Pia Prof muhongo kwa kupitia wasaidizi wake aliwataka TRA,TPA na WMA kuwasha mitambo ya Flows meters ,kwan aliona serikali inapoteza pesa nyingi bila sababu.
Alitoa agizo hilo kama mtendaji mwenye uchungu na nchi yake na wala hakujua kama Wazir mkuu, Majaliwa atafanya ziara huko.
Kichekesho ni kuwa ukawa wakitumia print media zao na vijana wao waliopo kwa wing ndani ya mitandao ya jamii wameamua kwa makusudi kupotosha ukweli huo.
Wameamua kufanya hivyo ili tu kumukomoa Prof muhongo ambaye aliwanyima vitalu vya gesi mafisadi wao wakubwa na ambao huwa awalipi kodi.
Tunasisitiza kuwa Prof hajawahi kufanya mawasiano na mama chuwa wa WMA na kuwa aliwaagiza wasaidizi wake wahakikishe kuwa Flow meters zinawasha na TRA,TPA na WMA kama utendaji wake wa kawaida.