Prof. Muhongo azidi kung'ara

Prof. Muhongo azidi kung'ara

Maskini wa akili ni mbaya sana ndugu zangu, kazi iliyifanywa na Prof Muhongo na team yake pale wizarani msiitegemee kwa miaka ya karibuni. Watanzania wazalendo na wachapa kazi hawatakiwi na pia HIZI NJAA ZETU ZITATUFIKISHA PABAYA

Umasikini wa kujitoa ufaham ni mbaya zaidi...wewe kutokana na mahaba yako binafsi na Muhongo ndio unaona hivyo...


Besides,utawala wake ushapita,hizi promo humu zitawasaidia nini?
 
Umasikini wa kujitoa ufaham ni mbaya zaidi...wewe kutokana na mahaba yako binafsi na Muhongo ndio unaona hivyo...


Besides,utawala wake ushapita,hizi promo humu zitawasaidia nini?

Kujitoa ufahamu kwa lipi? Kusema kapeleka umemeji vijijini? Kapeleka Watanzania kusoma nje kuhusu mafuta na gesi? Kusimamia vyema ujenzi wa bomba la gesi? Huo ndo ufanisi wake ambao lazima ukumbukwe na watu wote wenye mapenzi mema na nchi yetu.
 
Back
Top Bottom