Prof. Muhongo azidi kung'ara

Prof. Muhongo azidi kung'ara

Zitto Kabwe Zuber alisema Muhongo ni Muongo halafu ni Mwizi. Sasa mnapoema ni Mtu safi inatoka wapi?.
 
Zitto Kabwe Zuber alisema Muhongo ni Muongo halafu ni Mwizi. Sasa mnapoema ni Mtu safi inatoka wapi?.

Alisema ameongopa nini? Na ameiba nini? Mbona hatujasikia kafikishwa Mahakamani kwa wizi? Fikiria zaidi utagundua siasa uchwara!!
 
ameiba nini? wazungu wameshamchukua huko kwao ana wachapia kazi ....sisi tunabaki na siasa mbofu mbofu...zinazomeza professionals
 
....aende huko huko akawaibie, huku hatumtaki. kwanini akomalie bongo kama anauwezo wa kula shavu viwanja...? anajua alichokuwa anapata bongo kwa wizi, kwa wazungu hawezi kuwaibia bhabhabhaaaaaaabaaaa....

Mkuu hebu tuonyeshe wizi wake upo sehemu gani? Yeye ni Mtanzania Mzalendo lazima apende kwanza nchi yake.
 
Mkuu hebu tuonyeshe wizi wake upo sehemu gani? Yeye ni Mtanzania Mzalendo lazima apende kwanza nchi yake.
...majambazi nayo yajiita mazalendo, hii nchi imelogwa sana...
 
...majambazi nayo yajiita mazalendo, hii nchi imelogwa sana...

Kwanza haujaonyesha maana ya ujambazi unaousema!!!! dhahiri huku ni kuishiwa hoja, hujui useme lipi na usiseme lipi!!!
 
Muhongo uraisi labda wa Chama fulani cha wachimba copper ama uraisi wa ile kampuni ya power pool ya wajomba zake
 
Muhongo uraisi labda wa Chama fulani cha wachimba copper ama uraisi wa ile kampuni ya power pool ya wajomba zake
...to be specific rais wa kampuni ya ruge alyo iruhusu kufanyia udalali ofisini kwak...
 
...majambazi nayo yajiita mazalendo, hii nchi imelogwa sana...

Hii nchi imelogwa na watu wanaoendeshwa na siasa uchwara kama wewe....Hata uwezo wa kuchambua na kujiridhisha kwa kile kilichosemwa huna....
 
Zitto Kabwe Zuber alisema Muhongo ni Muongo halafu ni Mwizi. Sasa mnapoema ni Mtu safi inatoka wapi?.

zito ni Nani mpaka akulishe uongo na ukubali? Kweli hii ni akili ndogo kutawala akili kubwa...zito alipindisha ukwelu kupata political scores....Apeleke huko ujinga ujinga wake.
 
Hii nchi imelogwa na watu wanaoendeshwa na siasa uchwara kama wewe....Hata uwezo wa kuchambua na kujiridhisha kwa kile kilichosemwa huna....
...nijiridhishe mara ngapi, report ya takukuru imesema, ya CAG imebaini wazi jamaa ni jambazi. kama kuna mtu anabisha ushahidi huu wote basi ana matatizo kumkichwa. kama jambazi hlikuharbu basikusngekuwa na yanayoendelea kwenye tume ya maadili....
 
Kweli Watanzania tutaendelea kubaki maskini na wajinga daima hadi mwisho wa dunia kazi yetu kulalamika kuanzia asubuhi hadi jioni akitokea mchapakazi anataka na sisi tujitume tuchape kazi hatutaki tunamlaani kama tulivyomfanyia Muhongo ambaye alikuwa anasimamia kwa dhati sekta ya Nishati na Madini na kwa uadilifu mkubwa. kwanza hao wanasema kwamba aliiba wapi ametajwa? tatizo letu hatupendi kusoma wala kufuatilia vitu vya msingi kazi yetu ni kudanganywa na wanasiasa na sasa hivi wanasiasa wametujua sisi ni mbumbu watudanganya mfano mzuri mtu akikwambia fulani mwizi hufuatilii unabaki unaamini ndiyo kama hayo ambayo walisingiziwa akina Muhongo. Muhongo hakutajwa katika ripoti yoyote iwe ya akina Zitto wala ya TAKUKURU isipokuwa ni nongwa za wale wanaonyimwa ulaji Wizara ya Nishati na Madini.

sisi tuendelee kusifia nchi za wenzetu na Prof. Muhongo wewe endelea kufaidisha nchi za wenzetu hapa nyumbani hawajui umuhimu wako tuache tuendelee kunyanyaswa na akina Mengi wakitudanya kwa kutumia falsafa ya Wazawa na maslahi ya umma" niwaulize Watanzania ni nini Mengi ametufanyia kwa maslahi yetu afadhali hata BAKHRESA ambaye ametoa ajira lukuki kwa wasomi na wasio wasomi na hata bidhaa zake hakuna siku hatuitumii lakini hagombani na mtu wala hapigi kelele..

Mengi chukua fitalu vya gesi na mafuta ufaidike peke yako sisi Watanzania ni wajinga acha tuliwe na kubakia masikini wewe endelea kuwa tajiri.
 
Hivi nani anaweka thread kumhusu huyu profesa takataka humu?

Tumechoka,kila saa muhongo this muhongo that,tulishafukuza,akafie huko..atulie
 
hawa mafisadi maprofeseri bado mnawaanzishia sredi za kuwatetea!
 
ameiba nini? wazungu wameshamchukua huko kwao ana wachapia kazi ....sisi tunabaki na siasa mbofu mbofu...zinazomeza professionals

Ni shauri ya upumbavu wake mwenyewe kuiubali kuchezeshwa shere na wanasiasa! Wewe utasemaje hela siyo ya umma huku bado unadai kodi? Angesimamia profession yake tungemwelewa! Naona hapa Wajita ndo mnatoka mapovu bila kikomo!
 
Hivi nani anaweka thread kumhusu huyu profesa takataka humu?

Tumechoka,kila saa muhongo this muhongo that,tulishafukuza,akafie huko..atulie
Maskini wa akili ni mbaya sana ndugu zangu, kazi iliyifanywa na Prof Muhongo na team yake pale wizarani msiitegemee kwa miaka ya karibuni. Watanzania wazalendo na wachapa kazi hawatakiwi na pia HIZI NJAA ZETU ZITATUFIKISHA PABAYA
 
Back
Top Bottom