illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
nakumbuka kabla Simbachawene hajapewa uwaziri baada ya mh kujiuzulu kuhusu kashfa ya Tegeta, kulikuwa na mgawo balaa, kwa siku kadhaa kuelekea uchaguzi mgawo ulikoma, baraza jipya la mawaziri limetangazwa mgawo umeanza tena maradufu leo ni siku ya tatu ubungo umeme unakatika mchana kutwa morogoro pia ni balaa ...wanafunzi wanashindwa kusoma.....nacho jua mimi prof anauwezo mkubwa sana kiutendaji sasa sijui huenda wanamuhujumu au siju nini aise.