Prof. Mlambiti wa SUA - Jiwe lililosahaulika

Mkuu we acha tu....yule baba anajua Hesabu sijapata kuona....ilitakiwa SUA wamuongeze mkataba...hawatakaa waje wampate mwalimu kama yule. Ni mzee lakini hesabu zimapanda utadhani amemeza calculator! Ile kichwa imesoma Warwick University (England).
Sembuche bora sikukumbana naye maana stori nilizokuwa nazisikia kuhusu mahesabu yake ni balaa...!!
 
Umenikumbusha hisia alizo nazo prof. Tarimo.
Katika Dept ya Eng. Pale sua. Inamuuma sana wanasiasa wanapoongea kuhusu miradi mbali mbali ya maji.ambayo mingi imekufa kwa uzembe wa hawa watu.
Haaahaaaa Prof Tarimo A.K.P.R mzee wa Irrigation anakwambia Miradi yote ya Umwagiliaji inakufa kwa kuendekeza siasa badala ya Utaalam.Hili jembe lilinipelekesha kwenye Special Project yangu
 
Hivi na yule Mulengela naye bado hajastaafu?? Alikuwa balaa na Farm Structure yake hahaaah
 
Prof.M Mulengera alistaaafu na hakutaka upuuzi wa Mkataba yuko zake Kakonko mkoani Kigoma kwenye Mashamba yake.Hataki dhuruma wala kunyima wengine haki.Huyu naye siwezi kumsahau kwenye Waste water na Farm Structures ni jiwe ambalo halihongekiii
 
Hii kichwa ilikuwa nyingine kabisa, ilinisumbua sana na farm structure yake hahahaaah.
 
Mkuu we acha tu....yule baba anajua Hesabu sijapata kuona....ilitakiwa SUA wamuongeze mkataba...hawatakaa waje wampate mwalimu kama yule. Ni mzee lakini hesabu zimapanda utadhani amemeza calculator! Ile kichwa imesoma Warwick University (England).
Mkuu hapo kwenye red naomba nikusahihishe kwamba SUA achana nao kabisa kuna magiwji ya MTH pale hujapata kuona. Kuna vichwa kama Matofari, Kasile, Kazuzuru na vijana wao akina Edwin, Emma n.k yaani ni hatareeeeee!!
 
Gabagambi yupo REPOA. Alikosoa government ya Mkwere sasa Nondo hajalibiwi. Aidha Segerea au ukae kimya
Anaendelea kutoa maandiko yake kule '"RAIA Mwema" unaweza kukutana naye huko
 
Mkuu hapo kwenye red naomba nikusahihishe kwamba SUA achana nao kabisa kuna magiwji ya MTH pale hujapata kuona. Kuna vichwa kama Matofari, Kasile, Kazuzuru na vijana wao akina Edwin, Emma n.k yaani ni hatareeeeee!!
Yupo Dr.Karugila kwa MTH yupo vizuri japo unaweza kumuona MTU wa masikhara sana.Lakini kwa hesabu pia yupo vizuri sana.All in all wapo hadi Maprof pale SUA wanatambua uwezo wa Babu Sembuce kwenye hesabu.
 
Sidhani kama prof. Mlambiti alikuwa hajui Kiingereza kiasi hiki? Labda utuambie tu kwamba hicho umeandika wewe na siyo cha Prof. Mlambiti!
 
Kazuzuru bado yupo? Ee bwana eeh Kazuzuru ni kichwa pia ila hawezi kumfikia Sembuche...kumbuka Sembuche ni mzee lakini anajua hesabu utadhani sio mtanzania.
 
Mkuu ameandika tu kile anachokumbuka hawezi kukumbuka yote aliyosema.
 
Yupo Dr.Karugila kwa MTH yupo vizuri japo unaweza kumuona MTU wa masikhara sana.Lakini kwa hesabu pia yupo vizuri sana.All in all wapo hadi Maprof pale SUA wanatambua uwezo wa Babu Sembuce kwenye hesabu.
Sembuche ile ni namba nyingine babu acha kabisa..
 
Mkuu ameandika tu kile anachokumbuka hawezi kukumbuka yote aliyosema.
Tatizo mkuu siyo kuandika anachokumbuka,, shida ni kutohoa moja kwa moja kutoka kwenye Kiswahili kwenda Kiingereza. Mkapa, kwenye andiko langu nini nilichokuambia kuhusu kufungua mabarabara ya vijijini? Umeshajaribu kukaa na msafara (sasa hiki ni nini?) wako na kutupatia mrejesho?
 
Kazuzuru bado yupo? Ee bwana eeh Kazuzuru ni kichwa pia ila hawezi kumfikia Sembuche...kumbuka Sembuche ni mzee lakini anajua hesabu utadhani sio mtanzania.
Kazuzuru mkuu bado yupo anakimbiza MTH kama hana akili nzuri. Kwa kweli kuna mijamaa inajua hesabu hadi unaona wivu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…