GE2025 Prof. Mkumbo: Huwezi kuzungumzia Utanzania bila kuzungumzia amani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo, amesema Utanzania hauwezi kuzungumziwa bila ya amani, akiwasihi Watanzania kumuomba mungu ili kuepuka kuizoea amani kiasi cha kupelekea kuipoteza.

Prof. Kitila amezungumza hayo akimwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango, Jumatatu, Oktoba 27, 2025, katika Kongamano la Amani la Kitaifa kuelekea Uchaguzi Mkuu lililofanyika jijini Dar es Salaam, lenye kaulimbiu “Kupiga Kura ni Haki Yetu, Kulinda Amani ni Wajibu Wetu,”,

‎"Huwezi kuzungumzia Utanzania bila kuzungumzia amani, ndiyo maana ku nawatu wengi huko wanashangaa kila siku amani. K isaikolojia wakati mwingine ukiwa umekaa na jambo muda mrefu kunajambo la kulizoea na kuona ni jambo la kawaida. Nawaomba Watanzania mungu atusaidie, tusizoee kuwa na amani", amesema Prof. Mkumbo.
 
Uchaguzi wa serikali za mitaa tumepiga CCM ikaupora sasa nani anayevunja amani?
 
Neno Haki ndilo linakosekana katika wimbo wa watawala bongo, raia wamechoka wimbo mmoja sasa wanataka kubadilisha playlist ya DJ Haki ipigwe.
 
..huwezi kuzungumzia Tanzania bila kuzungumzia HAKI.

..Ndugu zetu wa vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika tuliwasaidia kwasababu walikuwa wanapigania HAKI.

..Vyama vya ukombozi havikuwa vikipigania amani katika nchi zao, bali HAKI.
 
29 ,Waandamani Muwe wa moja UMOJA ndio maana Kwenye Askari Nembo zao Zimeandikwa umoja . Msitoke kama kuku jikusanye muwe wengi . Beba silaha kujihami Kuwa Shujaa Kataa uovu back up ipo kubwa hawa watu 28 ,30 ni wachache sana ndio maana hawajiamini wanauza UOGA
 
Back
Top Bottom