Prof. Mbarawa anza na Tanroads; lami ya Temboni-Kimara ni mawimbi tu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Kwanza nikupongeze mzee wangu kwa uteuzi wako naamini Mungu hamtupi mja wake.

Mwisho nimefurahi kuona umeanza kukimbizana na TANROADS kuhusu kiwango cha lami.

Ukipata muda asubuhi nenda na vijana wa Tanroads mpaka kwa Musuguri geuzeni njoo Kimara hapa kati haya mawimbi ni aibu nilijaribu kushuka kuangalia shida ni gari ama la, lami ni mawimbi. Tumsiaidie mama jamani haya mambo ya anza twende yafe

Tunaamini ukaguzi mbalimbali mtaufanya kuangalia na lami zingine nini kinaendelea

Nawaza sana mpaka wamefika level ile na mawimbi means huko TANROADS hawana ukaguzi wakifika level fulani ya lami

Kwanini tusubiri mpaka kukabidhiwa tunakutana na vituko hivyo.

Lami ya Mwenge-Lugalo ni mawimbi matupu mpaka mtu akakabidhi leo hii tunasumbuliwa usiku na magari yanarekebisha vipande

Hii ya Kimara tusisubiri Waziri tuanze kukagua kabla hayajatukuta ya Mwenge -Tegeta

Nakutakia kazi njema mzee wangu
 
Kwanza nikupongeze mzee wangu kwa uteuzi wako naamini mungu amtupi mja wake hata binamu aseme No

Mwisho nimefurahi kuona umeanza kukimbizana na tanroads kuhusu kiwango cha lami...
Barabara ya Tegeta -mwenge ni kinyaa fukua makaburi mwendazake awajibishwe hata huko aliko
 
Kwanza nikupongeze mzee wangu kwa uteuzi wako naamini mungu amtupi mja wake hata binamu aseme No

Mwisho nimefurahi kuona umeanza kukimbizana na tanroads kuhusu kiwango cha lami...
Mbona haraka hadi unaharibu majina ya watu??
Mbawara!!
 
Kazi ipo kama mjini tu km 3 mawimbi hivyo huko km 100 plus takuwaje
10 perc mkuu na mazoea
10 perc mns atotengeneza kama ilivyoandikwa na yeye anahitaji faida how KUPUNGUZA ukub wa wa lami waliokub aliana
w
watuuwangu wanaangamia kwa kukosa maarifaa
 
Kweli kabisa siku hizi ni 25% sababu wapigaji wako wengi
 
Hiyo barabara ina km ngapi mpaka waziri afike hapo, mtendaji wa kata au mkuu wa wilaya hauyupo maeneo hayo? waziri anahusika na mambo makubwa ya kitaifa.
 
Kwanza nikupongeze mzee wangu kwa uteuzi wako naamini Mungu hamtupi mja wake.
lakini wananchi wa Pemba walimtupa. JPM akajaribu kum beba beba akakuta habebeki, akamtupa.

Makame Mbarawa is a case study in CCM’s conception of what is democracy.

CCM wanasema wazi wazi kwamba kukubalika na wananchi is just ONE factor. Kuna vigezo vyao vingine. Hawaamini sisi tunajua nani anatufaa nani hatufai. Wamepandikiza mtu ambae Pemba walim vote down bila ubishi wala mvutano, akatangazwa aliyeshinda. JPM kamejesha bara huku kinguvu nguvu.

Critical mass point itakuja tu, raia wenye upeo wanazaliwa kila uchwao.
 
Kwanza nikupongeze mzee wangu kwa uteuzi wako naamini Mungu hamtupi mja wake.

Mwisho nimefurahi kuona umeanza kukimbizana na TANROADS kuhusu kiwango cha lami.

Ukipata muda asubuhi nenda na vijana wa Tanroads mpaka kwa Musuguri geuzeni njoo Kimara hapa kati haya mawimbi ni aibu nilijaribu kushuka kuangalia shida ni gari ama la, lami ni mawimbi. Tumsiaidie mama jamani haya mambo ya anza twende yafe

Tunaamini ukaguzi mbalimbali mtaufanya kuangalia na lami zingine nini kinaendelea

Nawaza sana mpaka wamefika level ile na mawimbi means huko TANROADS hawana ukaguzi wakifika level fulani ya lami

Kwanini tusubiri mpaka kukabidhiwa tunakutana na vituko hivyo.

Lami ya Mwenge-Lugalo ni mawimbi matupu mpaka mtu akakabidhi leo hii tunasumbuliwa usiku na magari yanarekebisha vipande

Hii ya Kimara tusisubiri Waziri tuanze kukagua kabla hayajatukuta ya Mwenge -Tegeta

Nakutakia kazi njema mzee wangu
Wee Mkuu Acha ubinafsi, yaani hiyo lami hapo hapo kwa Musiguli hayo mawimbi mawimbi kwenye lami ndio mnaomba marekebisho wakati sisi wakazi wa mbiji magoe hata kuchonga inashindikana Barabara ni mawe matupu.
 
Back
Top Bottom