Prof. Mbarawa akagua chuo cha Mabaria (DMI) ''

Prof. Mbarawa akagua chuo cha Mabaria (DMI) ''

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578



Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Mkuu wa Chuo cha Mabaharia cha Dar es Salaam (DMI) Eng. Yassin Songoro katika ziara yake ya kukagua Chuo hicho jijini Dar es Salaam.



Mkuu wa Chuo cha Mabaharia cha Dar es Salaam (DMI) Eng. Yassin Songoro (katikati) akimuongoza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa kukagua madarasa ya Chuo hicho.



Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akikagua dira ya kuongozea meli (compass) katika moja ya darasa la Chuo hicho. Kulia ni Mkuu wa Chuo cha DMI Eng. Yassin Songoro.



Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (mwenye tai) akikagua mitambo ya kuongozea meli katika moja ya madarasa ya chuo cha DMI wakati wa ziara yake chuoni hapo.
 
Huyu jamaa smart sana hana makuu nadhani kuliko mawaziri wote
 
Back
Top Bottom