Adrian,
Dr. Faustine ana taarifa zilizo kwenye hii thread?
https://www.jamiiforums.com/habari-...2215-kigamboni-hali-ya-usalama-si-shwari.html Anawambia nini wana Kigamboni juu ya usalama wao? Japo najua hili ni tatizo la Dar nzima, hali ya usalama jijini Dar kwa ujumla inazidi kudorora, vyombo vya dola vinawalea tu, yeye anawashauri nini wakazi wa Dar? Tuchukue sheria mkononi?
Dr. Faustine ni member wa JF; ameyaona malalamiko ya wananchi wa Kigamboni juu ya suala la usafiri katika jimbo lake? Amechukua hatua gani? Unaweza kumsomea hapa -
https://www.jamiiforums.com/habari-...afiri-wa-daladala-kigamboni-ni-kero-tupu.html na yeye kama member kwanini hakutia neno?