B Bobuk JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 5,870 Reaction score 3,275 Jan 8, 2013 #21 Ritz said: Mkuu Kimbunga, Kuna tofauti kubwa kumiliki kadi kati ya Prof. Lipumba na Dr.Slaa. Click to expand... Tofauti kubwa iliyopo ni kwamba Prof Lipumba tayari amefunga ndoa (ameolewa) na CCM. Ndiyo maana hutamsikia Nape Nauye (CCM) akimsema mke MUPENZI
Ritz said: Mkuu Kimbunga, Kuna tofauti kubwa kumiliki kadi kati ya Prof. Lipumba na Dr.Slaa. Click to expand... Tofauti kubwa iliyopo ni kwamba Prof Lipumba tayari amefunga ndoa (ameolewa) na CCM. Ndiyo maana hutamsikia Nape Nauye (CCM) akimsema mke MUPENZI
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,964 Jan 8, 2013 #22 Ritz said: Mkuu Kimbunga, Kuna tofauti kubwa kumiliki kadi kati ya Prof. Lipumba na Dr.Slaa. Click to expand... Heri ya mwaka mpya 2013 mkuu!! Hebu tupe tofauti ya umiliki huu wa Dr. na Prof hata kwa ufupi ili tuelimike mkuu Ritz.
Ritz said: Mkuu Kimbunga, Kuna tofauti kubwa kumiliki kadi kati ya Prof. Lipumba na Dr.Slaa. Click to expand... Heri ya mwaka mpya 2013 mkuu!! Hebu tupe tofauti ya umiliki huu wa Dr. na Prof hata kwa ufupi ili tuelimike mkuu Ritz.
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,964 Jan 8, 2013 #23 Bobuk said: Tofauti kubwa iliyopo ni kwamba Prof Lipumba tayari amefunga ndoa (ameolewa) na CCM. Ndiyo maana hutamsikia Nape Nauye (CCM) akimsema mke MUPENZI Click to expand... Na wanawe ni TLP, UDP na NSSR Mageuzi!! Ongezea na wengine kama unawafahamu hasa mziwanda!!
Bobuk said: Tofauti kubwa iliyopo ni kwamba Prof Lipumba tayari amefunga ndoa (ameolewa) na CCM. Ndiyo maana hutamsikia Nape Nauye (CCM) akimsema mke MUPENZI Click to expand... Na wanawe ni TLP, UDP na NSSR Mageuzi!! Ongezea na wengine kama unawafahamu hasa mziwanda!!