Prof Lipumba: Mbowe aliniambia nawachelewesha au nasubiri makapi kutoka CCM?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,147
164,585
Lipumba aliyasema hayo jana pale Clouds.Nikajiuliza sasa aliyekuwa anasubiri makapi ni nani?!Nikakumbuka kauli ya Zitto aliposema usiwaamini wanasiasa ndiposa nikajisemea go...go...Magufuli tuletee hizo Boeing maana hawa wanasiasa wameshatuchelewesha sana kimaendeleo!
 
mkuu umeishia darasa la ngapi? Huu utumbo wako mbona hauweleweki
Kama umechukua muda kuujibu basi siyo utumbo bali una matatizo ya uelewa. Mara nyingi watu wa majungu na udaku mnakua na kiherehere sana cha kukimbilia mada ambazo zipo ambiguous kusudi mujiunge kuweka mapovu mkiona haziwasemi mnaotaka ziwaseme mnaishia kukashfu.
 
Baada ya mahojiano ya Clouds Lipumba amepoteza kabisa udhawishi wake hata ule mdogo aliokuwa nao. Wale wachache waliokuwa wanamwamini wamegundua kumbe ni bogus kabisa
 
Lipumba aliyasema hayo jana pale Clouds.Nikajiuliza sasa aliyekuwa anasubiri makapi ni nani?!Nikakumbuka kauli ya Zitto aliposema usiwaamini wanasiasa ndiposa nikajisemea go...go...Magufuli tuletee hizo Boeing maana hawa wanasiasa wameshatuchelewesha sana kimaendeleo!
Bahati nzuri sana sasa tunawafahamu vyema wanasiasa na hasa wale waliokuwa wakituaminisha kuwa ni "wapinzani" kwa miaka mingi. Kwa hiyo hii inatupa picha halisi kilichokuwa kikifanyika au kinachofanyika kila uchaguzi
 
Lipumba aliyasema hayo jana pale Clouds.Nikajiuliza sasa aliyekuwa anasubiri makapi ni nani?!Nikakumbuka kauli ya Zitto aliposema usiwaamini wanasiasa ndiposa nikajisemea go...go...Magufuli tuletee hizo Boeing maana hawa wanasiasa wameshatuchelewesha sana kimaendeleo!
we kwa upumbavu kama huu unaweza miliki na mke?
 
Back
Top Bottom