Prof Lipumba: Kodi zinazokusanywa na Serikali zinaishia kulipa Mishahara na Madeni, fedha za Maendeleo ni lazima tukope!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,956
141,944
Prof Lipumba amesema kukopa kopa siyo jambo jema lakini hatuna namna kwa sababu fedha zote za ndani zinazokusanywa na serikali zinaishia kulipa mishahara ya watumishi wa umma, wabunge na kulipa deni la taifa.

Prof Lipumba ameishauri serikali badala ya kukimbilia mikopo ya kibiashara wajikite kwenye kutafuta misaada ambayo hatutatakiwa kulipa kabisa.

Prof Lipumba yuko mubashara Star tv muda huu.
 
Back
Top Bottom