Prof. Lipumba arejea nchini

dhamira yake inamsuta na vidole juuu

Sio Kila Unachokifikiria Wewe Ndicho Anachokifikiria Yeye.... Dhamira Haiwezi Kumsuta Kwa Kuwa Amejitambua.. Sema Ukaskazini Utaondoka na Wengi, nitafute oktoba 27
 
Sio Kila Unachokifikiria Wewe Ndicho Anachokifikiria Yeye.... Dhamira Haiwezi Kumsuta Kwa Kuwa Amejitambua.. Sema Ukaskazini Utaondoka na Wengi, nitafute oktoba 27
wewe endelea tu ila ccm lazima itoke... tukutane october 27
 

Njaa mbaya sana wote tulimwona akimkumbatia EL na kusema atampigia debe EL!! TAKUKURU fuatilia mtuno wa Acct yake wa ghafla!!
 
Lipumba amejivua nguo ukweni..........huhitaji kuwa na elimu ya std 7 kubaini kiwango cha usaliti wake....namshauri aende act
.
 
A traitor will always be a traitor
 
Vijana, Kwa sasa Target sio Prof Lipumba, Sio Dr Slaa. Go to the Issues please! Msikubali kuhamishwa kirahisi!
 

ni aibu kwetu, tena sana, ndg zetu hawa wa rwanda, tumewapokea wakiwa wakimbizi, wamepigana tena vita mbaya kabiya their country nearly collapsed, leo maprofesa wetu hawa wanaenda eti kujifunza uchumi, jamani aibu hii tutaficha wapi nyuso zetu? Rwanda isiyo na madini, mbuga za wanyama, hawana bandari wala rasilimali japo robo ya tz, leo tunajifunza kwao, shame !!
 
Mkuu yote yamesababishwa na ccm, na ndio maana tunasema ccm siyo baba yetu wala ccm siyo mama yetu.imetosha
 
Prof katika ubora wake
 

Attachments

  • 1439566657261.jpg
    36 KB · Views: 103
watanzania wasiojielewa na ambao wanalazimishwa kuandamana hovyo huku wakisababisha uvunjifu mkubwa wa amani na kufanya uhalifu mitaani a.k.a panya road wa kisiasa wa chadema na ukawa.
Panya road baba yako mjinga weeee!
Meshindwa siasa za majukwaani mnaleta matusi...!
 
noomyenoH lacitiloP sa nwonk si sihT. Funny writing. Laugh Out Loud - LoL
 
Panya road baba yako mjinga weeee!
Meshindwa siasa za majukwaani mnaleta matusi...!

narudia tena kuweka nadhiri yangu huyo " kubwa la makapi na fisadi wenu " lowassa akiwa rais wa nchi hii nitakunya mimavi kutoka kinondoni biafra mpaka monduli.
 
Sisi Wtz tuna matatizo. Unamkebehi lipumba unamshangilia fisadi lowassa?

Na nyinyi ccm mna matatizo kuzid sisi

Eti mnamkata lowasa kwa sababu ya ufisadi huku mnawapitisha wezi wa Escrow kama tibaijuka chenge na ngeleja kama siyo kuchanganyikiwa tuite nin
 
Enzi za lyatonga akihama chama anahama na watu
hali ni tofauti siku hizi..
Lipumba amejidhalilisha
kwa akili yake alifikiri anapeeedwaaa, kumbe watz hawana hata tyme naye.
 

hata ukiwa na digrii mia.... bila mtoto utakuwa ndumila kama braza kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…