Usije kuta sisi Watanzania hatukujielewa tuu. Pengine mabadiliko yamechelewa sana kwa zaidi ya miaka Ishirini kwa sababu ya kuwa na viongozi wa Upinzani aina ya Lipumba.
Huwezi kuwa na mpinzani ambaye kwa miaka ishirini anaamini kazi yake ni "Ugombea Urais" na hajuti kushindwa bali kwake ni sifa hata anajinadi wakati mwingine kuwa huyo aliyeshinda amemsaidia pia.