Prof. Lipumba anavyodhalilishwa

Prof. Lipumba anavyodhalilishwa

huu upuuz nao unataka ukuingizie buku 7 ? bure kabisa wewe
 

Attachments

  • 1439200484616.jpg
    1439200484616.jpg
    36.9 KB · Views: 311
  • 1439200531816.jpg
    1439200531816.jpg
    40.3 KB · Views: 285
Baada ya alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) na mwenyekiti wa wenyeviti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA) , Prof. Ibrahim Harouna Lipumba kujiuzulu nafasi yake ya mwenyekiti wa CUF kutokana na kutokubaliana na viongozi wengine wa chama hicho na wale wa UKAWA kuhusu kuruhusiwa kwa EDWARD LOWASSA kujiunga na Umoja huo na hatimaye kuteuliwa kupeperusha bendera ya UKAWA kwenye nafasi ya Urais, wamejitokeza watu na baadhi ya vyombo vya habari kujaribu kumdhalilisha kiongozi huo ambaye alikijengea heshima kubwa Chama chake cha CUF.

Bahati mbaya kabisa, pamoja na kwamba watu hawa wanamlengo mmoja, wanatoka chama kimoja na wanafahamiaana na hata kuwa na mawasiliano ya moja kwa moja, bado wameshindwa kujipanga na kuandika angalau kitu kinachofaana ili fitina zao kwa LIPUMBA ziweze kuwa na ukweli wowote. YERIKO NYERERE anasema account ya prof. Lipumba iliyoko NMB Tawi la TEGETA kwenye jengo la AKIBA Complex imewekea pesa bil.3.5 . nilitegemea kama anajua aina ya benki, Tawi na hata jengo ambalo Prof. amewekewa pesa, basi ni dhahiri hata namba ya Account atakuwa anaijua, jina la AKAUNTI, siku na hata muda ambao pesa hizo ziliwekwa. Kutaja tu NMB , sijui tawi la Tegeta ni kutuchota akili watanzania kwa vile ni kweli kwenye jengo lile kuna benki ya NMB basi tuwamini kuwa anachoksema ni kweli.

Ni uzushi uleule ambao Yeriko alitaka kumzushia Dr. SLAA kuwa anajiandaa kukutana na secretarieti ya CHADEMA ili kupanga mikakati ya ushindi, uzushin ambao Dr. aliukanusha na kumuonya YERIKO asithubutu kuchezea jina lake. SAID KUBENEA naye anajikanyaga na SABABU lukuki za kwanini Prof. LIMPUMBA amejiuzulu.

Mara oh, amejiuzulu ili kulinda ajira ya mmoja wa maswahiba wake serikalini, mara amejiuzulu kwa sababu ameahidiwa madaraka makubwa katika serikali ijayo endapo CCM itashinda, mara Prof. amejiuzulu kwa sababu UKAWA wamemkaribisha LOWASSA ndani ya Umoja huo. Anajikanyagakanyaga tu huku watu anaowatuhumu kufanya hivyo ni wale wale aliokuwa akiwashambulia bila ushahidi wowote tangu enzi ziiile za kmwagiwa tindikali, tangu enzi ziile za ugomvi wake na Zitto Kabwe.

Kwa kifupi kubenea hana jipaya. eti haijulikani LIPUMBA kahongwa shilingi ngapi ila inasemekana ni bil.3.7. Uongo uliokomaa, huna uhakika sasa hicho kiasi anakitoa wapi, au kwa sababu YERIKO na uzushi wake kasema bil.3.5 basi anaona naye akaribie kiasi hicho ili kutuaminisha hivyo? account ipi zimewekwa, saa ngapi, lini? na nani? KUBENEA kama siasa zake ni nyepesi kiasi hiki atamuweza kweli DIDAS MASABURI pale Ubungo?

GAZETI LA DIRA YA MTANZANIA, leo 10/08/2015 (nadhani nalo linamilikiwa na haohao), eti Prof. Lipumba alifuatwa na viongozi wa dini ya Kiislamu akishinikizwa kugombea urais kupitia CUF kwa kile kilichoelezwa kuwa na kundi hilo kuwa kuokoa kura za Waislamu zisipotee bure kwa madai kuwa vyama vya CCM na CHADEMA vimeteua wagombea Makafiri yaani Wakristo.

Hivi huku siyo kuwatukana Wailamu kweli? Ikumbukwe kuwa ujio wa LOWASSA ndani ya UKAWA umefuatiwa na TUHUMA za baadhi ya viongozi wa UKAWA kununuliwa na LOWASSA ili akubaliwe kujiunga na umoja huo.

Kutaka kufunika tuhuma hizo kwa kuwachafua Dr. SLAA na Prof. LIPUMBA ni kutowatendea haki viongozi hao ambao leo hii umaarufu wa vyama vyao unatokana na juhudi zao za kuvijenga.

Huyo ndio yericko,hapo wakati wa enl anatangaza nia akiwa ccm,kazi ipo
 

Attachments

  • 1439200742619.jpg
    1439200742619.jpg
    47.3 KB · Views: 260
Mnatakiwa kujiandaa vizuri kabla ya kuja kupost threads. Unamtuhumu aliyekujulisha kuwa Prof kalipwa pesa kupitia benk na tawi Fulani? Huoni kuwa yeye kamaliza ila wewe unaetaka kuthibitisha ndie uende kwenye hilo tawi ukapate ukweli au uongo. Kumbukeni kuwa Lipumba alichokifanya kwa kiwango na hadhi yake ni cha kijinga tena kafanya kitoto. Unajaribu kunogesha maneno as if ulitegemea chama chake kingefurahia kuondoka kwake.
 
baada ya alikuwa mwenyekiti wa chama cha wananchi (cuf) na mwenyekiti wa wenyeviti wa umoja wa katiba ya wananchi(ukawa) , prof. Ibrahim harouna lipumba kujiuzulu nafasi yake ya mwenyekiti wa cuf kutokana na kutokubaliana na viongozi wengine wa chama hicho na wale wa ukawa kuhusu kuruhusiwa kwa edward lowassa kujiunga na umoja huo na hatimaye kuteuliwa kupeperusha bendera ya ukawa kwenye nafasi ya urais, wamejitokeza watu na baadhi ya vyombo vya habari kujaribu kumdhalilisha kiongozi huo ambaye alikijengea heshima kubwa chama chake cha cuf.

Bahati mbaya kabisa, pamoja na kwamba watu hawa wanamlengo mmoja, wanatoka chama kimoja na wanafahamiaana na hata kuwa na mawasiliano ya moja kwa moja, bado wameshindwa kujipanga na kuandika angalau kitu kinachofaana ili fitina zao kwa lipumba ziweze kuwa na ukweli wowote. Yeriko nyerere anasema account ya prof. Lipumba iliyoko nmb tawi la tegeta kwenye jengo la akiba complex imewekea pesa bil.3.5 . Nilitegemea kama anajua aina ya benki, tawi na hata jengo ambalo prof. Amewekewa pesa, basi ni dhahiri hata namba ya account atakuwa anaijua, jina la akaunti, siku na hata muda ambao pesa hizo ziliwekwa. Kutaja tu nmb , sijui tawi la tegeta ni kutuchota akili watanzania kwa vile ni kweli kwenye jengo lile kuna benki ya nmb basi tuwamini kuwa anachoksema ni kweli.

Ni uzushi uleule ambao yeriko alitaka kumzushia dr. Slaa kuwa anajiandaa kukutana na secretarieti ya chadema ili kupanga mikakati ya ushindi, uzushin ambao dr. Aliukanusha na kumuonya yeriko asithubutu kuchezea jina lake. Said kubenea naye anajikanyaga na sababu lukuki za kwanini prof. Limpumba amejiuzulu.

Mara oh, amejiuzulu ili kulinda ajira ya mmoja wa maswahiba wake serikalini, mara amejiuzulu kwa sababu ameahidiwa madaraka makubwa katika serikali ijayo endapo ccm itashinda, mara prof. Amejiuzulu kwa sababu ukawa wamemkaribisha lowassa ndani ya umoja huo. Anajikanyagakanyaga tu huku watu anaowatuhumu kufanya hivyo ni wale wale aliokuwa akiwashambulia bila ushahidi wowote tangu enzi ziiile za kmwagiwa tindikali, tangu enzi ziile za ugomvi wake na zitto kabwe.

Kwa kifupi kubenea hana jipaya. Eti haijulikani lipumba kahongwa shilingi ngapi ila inasemekana ni bil.3.7. Uongo uliokomaa, huna uhakika sasa hicho kiasi anakitoa wapi, au kwa sababu yeriko na uzushi wake kasema bil.3.5 basi anaona naye akaribie kiasi hicho ili kutuaminisha hivyo? Account ipi zimewekwa, saa ngapi, lini? Na nani? Kubenea kama siasa zake ni nyepesi kiasi hiki atamuweza kweli didas masaburi pale ubungo?

Gazeti la dira ya mtanzania, leo 10/08/2015 (nadhani nalo linamilikiwa na haohao), eti prof. Lipumba alifuatwa na viongozi wa dini ya kiislamu akishinikizwa kugombea urais kupitia cuf kwa kile kilichoelezwa kuwa na kundi hilo kuwa kuokoa kura za waislamu zisipotee bure kwa madai kuwa vyama vya ccm na chadema vimeteua wagombea makafiri yaani wakristo.

Hivi huku siyo kuwatukana wailamu kweli? Ikumbukwe kuwa ujio wa lowassa ndani ya ukawa umefuatiwa na tuhuma za baadhi ya viongozi wa ukawa kununuliwa na lowassa ili akubaliwe kujiunga na umoja huo.

Kutaka kufunika tuhuma hizo kwa kuwachafua dr. Slaa na prof. Lipumba ni kutowatendea haki viongozi hao ambao leo hii umaarufu wa vyama vyao unatokana na juhudi zao za kuvijenga.
naona umeshindwa kwa hoja sasa umeanza tena udini.pole sana mwaka huu lazima mng'oke tu!!!iwe jua iwe mvua!!!
 
Huu Uzi comment peke yako na u.p.u.u.z.I. wako. Sisi tupo bize na maandano ya kufuru. Yaan ya magufuli yanaingia Mara tano. Ya Leo balaa tupu. Kazi kwako na umbea wa taarabu[/QUOTTena wale wa magufuli walilamba na posho
 
Kajidhalilishs mwenyewe alikuwa na maana gani hkujihudhulu wakati kama huu, na alikili mwenyewe kuwa atamuunga mkono yeyote atakaeteuliwa na ukawa, kama yy atapigwa chini tatzi nn, jamani wanaukawa hasa viongoz? Tulieni tuokowe jahazi hili jamani
 
Huyu jamaa sijaelewa ameandika kitu gani, nimesoma mara mbili mbili sijamwelewa kabisa. Hebu tupe sababu za msingi za Lipumba kujitoa ukawa kama unadai sababu za akina Kubenea na Yericko ni za kudhalilisha. Kuna huna ni bora kupiga kimya bro
 
LIPUMBA anavyodhalilishwa na YERIKO NYERERE na SAID KUBENEA na magazeti ya CHADEMA. siyo tabia nzuri kabisa.

Wala lisikusumbue kiongozi, hii ni "presha" ya vita tu. WANAJESHI wakiwa mstari wa mbele na wakati huo ushindi wa vita unaonekana bayana...ghafla mkuu wa kikosi akibadilika na Kwenda tofauti na matarajio ya wapambanaji hapo lolote linaweza kutokea..kutukanwa,kupigwa na hata kufukuzwa

Baada ya mapambano na ushindi kupatikana, hao wote bado ni watu wa HESHIMA sana na wataenziwa na kuheshimiwa kwa stahiki zao. Huku hakuna MAKAPI.
 
Bavicha kirefu chake ni Baraza la vichaa chadema. Hawa vichaa wameajiriwa ili kupambana humu Jf. Ni kupoteza muda kujibizana nao. Pia kina Pr. Lipumba ndio malezi waliyowalea hawa jamaa,uongo na uzushi,hivyo hakuna cha ajabu na profesa unakula ulichopanda. Hao ni nyumbu,akienda mmoja huku na hao tiiiiiiiiiim
 
Freedom is coming.......

Naimba tu😛

October 25
 
Back
Top Bottom