Prof. Lipumba ajitosa urais UKAWA

Lipumba kishatangaza nia ..nina mashaka sana kuwa ukawa inakwenda kuvunjika
 
Yule padri mwizi wa wake za watu hawezi kupata kura,toka lini mzinifu na msaliti wa dini akagombea jaman

Sisi ccm uishia kwenye personal issues,hatuibui hoja ili watanzania watupime.Jamani wana ccm mimi niko tanga lakini watu tukiwambia hizi porojo wanatuzomea pls tuleteeni masuara.Mbona wapinzani wanazo hoja?
 
TANGA IPI CDM INAKUBALIKA....? afadhali ya CUF
 
Mkuu dk slaa ana nini cha ajabu kinachotisha mpaka watu wamuogope?? au kule kupiga kelele jukwaani?? Njoo na fact kwa nini anaogopwa??
 
Uzuri wa CUF ina kura zake ambazo hazipotei hovyo.Si ajabu kukuta CUF ina matawi ambayo yapo hai kuliko vyama vyote vya upinzani Tanzania.

Uko sahihi kabisa mkuu,,, hili watu wengi hawalioni...
 
Mkuu dk slaa ana nini cha ajabu kinachotisha mpaka watu wamuogope?? au kule kupiga kelele jukwaani?? Njoo na fact kwa nini anaogopwa??
Waulize CCM alichowafanya 2010 October!!
 
Samahani babu, eti ni kwanini mnamuogopa hivyo Dr Slaa? Kwanini mnafarijika sana akitokea mtu wa kuzuia dhamira yake. Kama utashindwa kunijibu basi asume tu kwamba nilikuwa nawaza kwa SAUTI!!
 
Taratiibu sumu ya udini na ukanda na ukabila inazidi kusambaa, ni bahati mbaya sana JF ni mojawapo ya chanzo cha kusambaza hiyo sumu, tafadhali mods akina Invisible embu jaribuni kutafakari upya
 
Last edited by a moderator:
Sisi ccm uishia kwenye personal issues,hatuibui hoja ili watanzania watupime.Jamani wana ccm mimi niko tanga lakini watu tukiwambia hizi porojo wanatuzomea pls tuleteeni masuara.Mbona wapinzani wanazo hoja?

Personal issues ndio msahafu wenu Chadema. Kazi kupinga kila kitu isipokuwa posho za wabunge. Hata mna budget mbadala?Wapinzani wa Nchi zingine wana budget yao mbadala ya taifa ikiekelezea sera zao na jinsi watakavyo i finance hiyo budget. Nyie mmekalia wizara vivuli. Wewe umeona wapi kivuli kikifanya kitu isipokuwa kufuata muundo halisi tu.
 
Cha ajabu eti maccm Leo yamegeuka mashabiki ya Prof Lipumba.Unafiki ni mzigo
 
Tunakuamini prof, wewe ni jembe la ukawa, hata ukipitishwa wewe ni mule mule tu
 
Akiwa mjini urambo prof Lipumba ametangaza kugombea urais kupitia umoja wa katiba ya wanainchi Ukawa, amesema yupo tayari kuheshimu demokrasia katika umoja huo endapo itafuatwa katika kumpata mgombea wa UKAWA na yupo tayari kumpigia debe endapo asipopitishwa.
Kauli hii aliyoitoa prof Lipumba inahitajika kutolewa na wagombea wote wanaogombea Urais kupitia UKAWA.
 
Labda urais wa wauza ulanzi.
 
Yupo sahihi
 
Lipumba kishatangaza nia ..nina mashaka sana kuwa ukawa inakwenda kuvunjika

We ndo una mashaka sasa hivi, akina Nape na wenzako CCM walikuwa na mashaka toka UKAWA ilivyoanza, ila wanashangaa siku zinaenda tu.
 
kwa maoni yangu naona ukawa wamsimamishe prof.lipumba,kimkakati watavuna kura nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…