Prof. Lipumba: ACT-Wazalendo imeongeza damu yenye virusi ikidhani ni damu salama

Wanabodi,

Pamoja na tuhuma za baadhi ya wanabodi kutotaza TBC kwa hoja kuwa ina boa, lakini hii ndio TV yetu pekee inayoendeshwa kwa kodi zetu, hivyo kutazama TBC sio issue ya choice bali ni wajibu, hivyo tutimize wajibu wetu kuangalia TBC.

Mwenyekiti wa CUF Taifa kwa mujibu wa Msajili wa Vyama Siasa, na kwa mujibu wa Mahakama, Prof. Ibrahim Lipumba, yuko live TBC kwenye kipindi cha Jambo.

Natoa wito, karibuni tumsikilize.

Paskali

😂😂😂😂 mie nipo chumban ila namskia na msauti wake km kafukiwa kwenye pumba!...natetemeka kwa basira tu...labda watoe namba tupige tutoe maoni yetu tushushe hsira kupitia yy😤
 
Wanabodi,

Pamoja na tuhuma za baadhi ya wanabodi kutotaza TBC kwa hoja kuwa ina boa, lakini hii ndio TV yetu pekee inayoendeshwa kwa kodi zetu, hivyo kutazama TBC sio issue ya choice bali ni wajibu, hivyo tutimize wajibu wetu kuangalia TBC.

Mwenyekiti wa CUF Taifa kwa mujibu wa Msajili wa Vyama Siasa, na kwa mujibu wa Mahakama, Prof. Ibrahim Lipumba, yuko live TBC kwenye kipindi cha Jambo.

Natoa wito, karibuni tumsikilize.

Paskali
Duh sijui nifanyeje ili nione maneno ya Mr Lipumbafu kwani TBC niliipiga ban kwa msaada wa DSTV H/q duh, ila kuiangalia hii TV station ni kujitia mkosi asubuhi hii, utatusimulia pumba zake atakazotoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My Take ya Lipumba, ningekuwa mimi, ningejiepusha na kusema jambo lolote negative kumhusu Maalim Seif, Lipumba anajua fika kuna watu wanamuabudu Maalim Seif, hivyo akisema anything kumhusu muabudu huyu, watamuona kama amekufuru.

tena anajua kbs kuna wafuasi bila Maalim wanaona maisha hayaendi..jana wamama waze kbs wapo front. thou i loved ...
 
Wanabodi,

Pamoja na tuhuma za baadhi ya wanabodi kutotaza TBC kwa hoja kuwa ina boa, lakini hii ndio TV yetu pekee inayoendeshwa kwa kodi zetu, hivyo kutazama TBC sio issue ya choice bali ni wajibu, hivyo tutimize wajibu wetu kuangalia TBC.

Mwenyekiti wa CUF Taifa kwa mujibu wa Msajili wa Vyama Siasa, na kwa mujibu wa Mahakama, Prof. Ibrahim Lipumba, yuko live TBC kwenye kipindi cha Jambo.

Natoa wito, karibuni tumsikilize.

Paskali

Paskali ww tuwakilishe tu, sisi wengine hiyo TV kwetu ni laana kuiangalia, utatuambia anachozungumzia maana hatuko tayari kutazama hiyo laana. Hiyo TV na mwenge wa uhuru kwangu ni familia yangu ni mwiko kufuatilia.
 
mie nipo chumban ila namskia na msauti wake km kafukiwa kwenye pumba!...natetemeka kwa basira tu...labda watoe namba tupige tutoe maoni yetu tushushe hsira kupitia yy

Ha ha ha ha
Pole Sana

Wala usiwe na hasira...Ni funzo kwetu tusiweke loopholes kwenye Jambo lolote kuhusu Sheria ma utaratibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Pamoja na tuhuma za baadhi ya wanabodi kutotaza TBC kwa hoja kuwa ina boa, lakini hii ndio TV yetu pekee inayoendeshwa kwa kodi zetu, hivyo kutazama TBC sio issue ya choice bali ni wajibu, hivyo tutimize wajibu wetu kuangalia TBC.

Mwenyekiti wa CUF Taifa kwa mujibu wa Msajili wa Vyama Siasa, na kwa mujibu wa Mahakama, Prof. Ibrahim Lipumba, yuko live TBC kwenye kipindi cha Jambo.

Natoa wito, karibuni tumsikilize.

Paskali
Nilishawahi mwambia mke wangu siku nikirudi nikakuta wanaangalia TBC huo ndio utakuwa mwisho wa kuangalia TV maana nitaipandisha darini
 
Wanabodi,

Pamoja na tuhuma za baadhi ya wanabodi kutotaza TBC kwa hoja kuwa ina boa, lakini hii ndio TV yetu pekee inayoendeshwa kwa kodi zetu, hivyo kutazama TBC sio issue ya choice bali ni wajibu, hivyo tutimize wajibu wetu kuangalia TBC.

Mwenyekiti wa CUF Taifa kwa mujibu wa Msajili wa Vyama Siasa, na kwa mujibu wa Mahakama, Prof. Ibrahim Lipumba, yuko live TBC kwenye kipindi cha Jambo.

Natoa wito, karibuni tumsikilize.

Paskali
Msikilize wewe utatuambia kasemaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lipumba amemshutumu Maalim Seif kwa kusema analeta usultani, anachotaka yeye tuu ndicho, hivyo kitendo cha kuhamia ATC chama chenye sera tofauti kabisa na malengo ya CUF, huko sasa kutakuwa ni kumfuata mtu kama usultani na sio kufuata sera au itikadi.
Sasa kashachiwa chama kelele za nin tena.

Ujue hana raha hapo alipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lipumba amemshutumu Maalim Seif kwa kusema analeta usultani, anachotaka yeye tuu ndicho, hivyo kitendo cha kuhamia ATC chama chenye sera tofauti kabisa na malengo ya CUF, huko sasa kutakuwa ni kumfuata mtu kama usultani na sio kufuata sera au itikadi.
Jana nilikuwa nimekaa na Waziri pamoja na afisa mkubwa wa TIS. Waziri ni rafiki yangu. Nikamwuliza,

SWALI: Ebu niambie ukweli kabisa, maneno haya yanayotamkwa kuwa mgogoro wa CUF umeletwa na CCM, ni kweli?'

JIBU: Huo ndio ukweli

SWALI: Kwa kilichotokea sasa, yaani kwa maana ya alichokifanya Seif, bado mnaona mmefanikiwa?

JIBU: Kwa kiasi fulani tumefanikiwa

SWALI: Nionavyo mimi ni kama hamjafanikiwa kwa maana kwa sasa Lipumb anaweza kuwa Mrema. Na ikiwa hivyo halafu ACT ikawa na nguvu kushinda hata CUF ilivyokuwa mwanzo, hamwoni ninyi mtakuwa mmesaidia zaidi kuujenga umoja wa wapinzani? Zamani CUF na CDM hawakuwa wanakaa pamoja, wala CUF haikufikiria kuungana na CUF. Leo ACT imeungana na CUF, Lipumba hana CUF, ana makarayasi ya CUF. Leo vyama vya upinzani vyote vimekuwa na umoja kutokana na madhira yanayofanana - dhulma inayofanywa na CCM dhidi yao, wewe unasemaje? Huoni kama ni miscalculation ya hali ya juu?

JIBU: Unachokisema kuna ukweli mkubwa.
 
Back
Top Bottom