GE2025 Prof. Kitila: Tanzania ni Nchi ya Vyama vingi, tunashindana na Vyama 17

GE2025 Prof. Kitila: Tanzania ni Nchi ya Vyama vingi, tunashindana na Vyama 17

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Prof. Kitila Mkumbo, Mwenyekiti Kamati ndogo iliyoandaa ilani ya CCM, akihojiwa na ITV anukuliwa akisema, "Tunashindana na vyama 17 Watanzania waelewe nchi hii ni ya vyama vingi sio vyama viwili.....huko Marekani ni nchi ya vyama viwili sio Tanzania."

Prof. Kitila Mkumbo, Mwenyekiti Kamati ndogo iliyoandaa ilani ya CCM, akihojiwa na ITV anukuliwa akisema;

"Tunashindana na vyama 17 Watanzania waelewe nchi hii ni ya vyama vingi sio vyama viwili.....huko Marekani ni nchi ya vyama viwili sio Tanzania."

View attachment 3468054

Huyu jamaa imekuwa ni kama vile yeye ndiye msomi pekee huko CCM. Ndiyo tatizo la kuwaingiza akina Bava Levo na kuwaweka kwenye kapu moja.
 
Prof. Kitila Mkumbo, Mwenyekiti Kamati ndogo iliyoandaa ilani ya CCM, akihojiwa na ITV anukuliwa akisema;

"Tunashindana na vyama 17 Watanzania waelewe nchi hii ni ya vyama vingi sio vyama viwili.....huko Marekani ni nchi ya vyama viwili sio Tanzania."

View attachment 3468054
Watu kama huyu; hata aibu usoni hana kabisa kutumika kama kinyago cha watu ambao yeye ndiye angekuwa anawachezesha kama 'toys'; lakini badala yake yeye ndiye anakuwa mwanasesere?

Hopeless Kabisa.

Nadhani kuna umuhimu wa kuandika kitabu cha kuwajumuisha hawa wote; kiwe kama historia ya kizazi cha waTanzania waliodhaniwa kuwa wasomi, kumbe vichwani ni takataka tupu!
Akili zote zimehamia tumboni.
 
Sampuli hizi na kalamaganda propesaz ndio zinawapa kina msukuma na baba Levo credits za kuiponda elimu ya kengez
 
Prof. Kitila Mkumbo, Mwenyekiti Kamati ndogo iliyoandaa ilani ya CCM, akihojiwa na ITV anukuliwa akisema;

"Tunashindana na vyama 17 Watanzania waelewe nchi hii ni ya vyama vingi sio vyama viwili.....huko Marekani ni nchi ya vyama viwili sio Tanzania."

View attachment 3468054
Huyu baba yake angevaa mpira wa kiume kuiokoa dunia
 
Unaweza ukaambia anayesema kwamba anashindana na vyama 17 amesoma hadi fomfoo au hata chuo kimojawapo cha mifugo au uhazili Tabora.
 
Back
Top Bottom