GE2025 Prof. Kitila: Tanzania ni nchi ya Pili kwa Afrika Mashariki kwenye Kupambana na Rushwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Tanzania imeendelea kupiga hatua katika mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi, jambo linalothibitishwa na takwimu za kimataifa.

Akizungumza katika Jukwaa la Cafetalk lililofanyika Jumamosi, Prof. Kitila amesema kwa mujibu wa vipimo vya Transparency International, Tanzania inashika nafasi ya pili katika Afrika Mashariki kwa juhudi za kupambana na rushwa, ikitanguliwa na Rwanda. Aidha, katika bara la Afrika lenye nchi 54, Tanzania inashika nafasi ya 14

“Kwa vipimo vya Transparency International vinavyopima mwenendo wa rushwa duniani, Tanzania ni ya pili kwa Afrika Mashariki kwenye kupambana na rushwa, tumebaki nyuma ya Rwanda pekee. Ndani ya Afrika, sisi ni wa 14. Hii inaonesha tumekuwa tukipiga hatua kubwa katika mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi,” amesema Prof. Kitila alipokuwa akijibu swali lililoulizwa na mtangazaji Charles William kuhusu mtazamo wa Watanzania wa kipato cha chini wanaoamini umasikini wao unasababishwa na rushwa na uzembe.

Katika mjadala huo uliojadili mada: “Je, Serikali ya Awamu ya Sita Imeweza Kugusa Maisha ya Watanzania?”, Prof. Kitila amesema ili kuendelea na mapambano hayo, katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2025/30 kuna kipengele cha utawala bora chenye lengo la kuimarisha na kudumisha mapambano dhidi ya rushwa, ufisadi, uzembe na wizi

Amesisitiza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imejiwekea dhamira ya dhati na imechukua hatua madhubuti katika kudhibiti vitendo vya rushwa na ufisadi, ili kuhakikisha rasilimali za taifa zinawanufaisha Watanzania wote

Labda Mimi ndo sielewi maana ya rushwa ..

Au anazungumzia kurushwa madarasa?

Maana wanetu wengi wanarushwa madarasa kwa kigezo cha akili.
 
Kwanini tuangalie tunakuwa wa pili au hata wa mwisho badala ya kuangalia ni vipi au tupo hatua gani na kupambana na Rushwa !!!!

Yaani ni kama upo kundi la wachawi na mnakula watu alafu unajifia kwamba sisi tunakula wenzetu kuliko wachawi wengine ?

Huenda wengine sio wachawi kabisa....

By the way Corruption imeongezeka na inaongezeka sio kupungua bora kipindi cha JPM watu walikuwa waoga
 
Mwambie Kitila huo upumbavu akawalishe mke wake na watoto wake.
 
Kwenye takwimu huwa tupo vizuri!!😁! Huwa zinatufariji sana lakini hali ni tete!
 
Hao Transparency International taarifa zao za vipimo vya rushwa hutegemea sana wanojiita wataalam na wafanyabiashara pekee kutoa picha halisi ya kiwango cha rushwa.

Ikiwa wataalam hao na wafanyabiashara wote wamo kwenye mfumo wa Kleptokrasia, itakuwa vigumu sana kuamini tafiti zao zinohusu mwenendo wa Rushwa na Ufisadi.

Tafiti za rushwa na ufisadi zapaswa kuwashirikisha wananchi ambao ndo waathirika wa kwanza wa vitendo vya rushwa na ufisadi.
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Tanzania imeendelea kupiga hatua katika mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi, jambo linalothibitishwa na takwimu za kimataifa.

Akizungumza katika Jukwaa la Cafetalk lililofanyika Jumamosi, Prof. Kitila amesema kwa mujibu wa vipimo vya Transparency International, Tanzania inashika nafasi ya pili katika Afrika Mashariki kwa juhudi za kupambana na rushwa, ikitanguliwa na Rwanda. Aidha, katika bara la Afrika lenye nchi 54, Tanzania inashika nafasi ya 14

“Kwa vipimo vya Transparency International vinavyopima mwenendo wa rushwa duniani, Tanzania ni ya pili kwa Afrika Mashariki kwenye kupambana na rushwa, tumebaki nyuma ya Rwanda pekee. Ndani ya Afrika, sisi ni wa 14. Hii inaonesha tumekuwa tukipiga hatua kubwa katika mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi,” amesema Prof. Kitila alipokuwa akijibu swali lililoulizwa na mtangazaji Charles William kuhusu mtazamo wa Watanzania wa kipato cha chini wanaoamini umasikini wao unasababishwa na rushwa na uzembe.

Katika mjadala huo uliojadili mada: “Je, Serikali ya Awamu ya Sita Imeweza Kugusa Maisha ya Watanzania?”, Prof. Kitila amesema ili kuendelea na mapambano hayo, katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2025/30 kuna kipengele cha utawala bora chenye lengo la kuimarisha na kudumisha mapambano dhidi ya rushwa, ufisadi, uzembe na wizi

Amesisitiza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imejiwekea dhamira ya dhati na imechukua hatua madhubuti katika kudhibiti vitendo vya rushwa na ufisadi, ili kuhakikisha rasilimali za taifa zinawanufaisha Watanzania wote

Huyu Kitila ndie mama alitaka awe makamu wake badala ya Nchimbi. Wahuni wakamtishia akichomoa betri watachomoa taa bulb.
 
Ayayayaya....!!! Huyu mzee anaongea nini namana kitambi kimemzidi maarifa kweli?
 
Kwanini tuangalie tunakuwa wa pili au hata wa mwisho badala ya kuangalia ni vipi au tupo hatua gani na kupambana na Rushwa !!!!

Yaani ni kama upo kundi la wachawi na mnakula watu alafu unajifia kwamba sisi tunakula wenzetu kuliko wachawi wengine ?

Huenda wengine sio wachawi kabisa....

By the way Corruption imeongezeka na inaongezeka sio kupungua bora kipindi cha JPM watu walikuwa waoga
Unajua wana changanya ameongea kama mgombea au waziri maana huyu ni Mgombea ubunge hapo hapo waziri
 
JPM alikua anachapakazi ndo maana alikua anasema hapa kazi tu
Kwanini tuangalie tunakuwa wa pili au hata wa mwisho badala ya kuangalia ni vipi au tupo hatua gani na kupambana na Rushwa !!!!

Yaani ni kama upo kundi la wachawi na mnakula watu alafu unajifia kwamba sisi tunakula wenzetu kuliko wachawi wengine ?

Huenda wengine sio wachawi kabisa....

By the way Corruption imeongezeka na inaongezeka sio kupungua bora kipindi cha JPM watu walikuwa waoga
Ha
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Tanzania imeendelea kupiga hatua katika mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi, jambo linalothibitishwa na takwimu za kimataifa.

Akizungumza katika Jukwaa la Cafetalk lililofanyika Jumamosi, Prof. Kitila amesema kwa mujibu wa vipimo vya Transparency International, Tanzania inashika nafasi ya pili katika Afrika Mashariki kwa juhudi za kupambana na rushwa, ikitanguliwa na Rwanda. Aidha, katika bara la Afrika lenye nchi 54, Tanzania inashika nafasi ya 14

“Kwa vipimo vya Transparency International vinavyopima mwenendo wa rushwa duniani, Tanzania ni ya pili kwa Afrika Mashariki kwenye kupambana na rushwa, tumebaki nyuma ya Rwanda pekee. Ndani ya Afrika, sisi ni wa 14. Hii inaonesha tumekuwa tukipiga hatua kubwa katika mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi,” amesema Prof. Kitila alipokuwa akijibu swali lililoulizwa na mtangazaji Charles William kuhusu mtazamo wa Watanzania wa kipato cha chini wanaoamini umasikini wao unasababishwa na rushwa na uzembe.

Katika mjadala huo uliojadili mada: “Je, Serikali ya Awamu ya Sita Imeweza Kugusa Maisha ya Watanzania?”, Prof. Kitila amesema ili kuendelea na mapambano hayo, katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2025/30 kuna kipengele cha utawala bora chenye lengo la kuimarisha na kudumisha mapambano dhidi ya rushwa, ufisadi, uzembe na wizi

Amesisitiza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imejiwekea dhamira ya dhati na imechukua hatua madhubuti katika kudhibiti vitendo vya rushwa na ufisadi, ili kuhakikisha rasilimali za taifa zinawanufaisha Watanzania wote

Sasa kwa nini isiwe ya kwanza....!?
 
Labda rushwa ya Ngono
 
Mbona mchwa wanaotafuna nyumba yetu tumeshindwa japo kuwa mwagia maji ya moto au kupukutisha ule mchanga wanaojificha ndani yake?Sembuse dawa ya kuwaua tutaingia gharama kupitia mifuko yetu na tutasalia na madhara ya sumu?
 
Mwambie Kitila huo upumbavu akawalishe mke wake na watoto wake.
Profesa mwenzie alisema alitolewa jalalani. Hawa maprofesa aina hii ni vinyesi kabisa. wewe ni mgonjwa, badala uhangaikie tiba, unajigamba kuwa una nafuu kuliko jirani yako
 
Mnafiki namba 3 Tanzania baada ya Zitto Kabwe na Pascal Mayalla.
 
Back
Top Bottom