Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,234
Huyu naye kama alikuwa hayupo Dar hivi miaka yote hiyo, leo hii ndio aseme atatatua changamoto ya mwendokasi
Kwamba siku zote alikuwa wapi? Uongo mwingine ni wakishamba sana. Analipambania tumbo lake tu hapo hakuna lolote
====================
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, ameendelea na ziara yake ya kampeni katika jimbo hilo.
Akiwa mgeni rasmi katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za udiwani Kata ya Kimara, Mtaa wa Kirunge, Prof. Kitila amewahakikishia wakazi wa eneo hilo na ukanda mzima wa Kimara hadi Manzese kuwa changamoto ya usafiri wa mwendokasi iko mbioni kupatiwa suluhu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amesema tayari Serikali imeagiza mabasi 177 mapya ya mwendokasi, ambayo yanatarajiwa kuwasili nchini mwanzoni mwa mwezi Novemba