Prof. Kitila Mkumbo ashambuliwa vikali na wanafunzi wake mtandaoni

Prof. Kitila Mkumbo ashambuliwa vikali na wanafunzi wake mtandaoni

Wasomi wengi ni waoga sana kupoteza kazi kuliko watu wenye elimu ya kat na ya kawaida
 
Wasomi wengi wa nadharia huhubiri wasiyo yaishi akiwemo huyu mnafiki.
 
Huyu kitila kachemka kweli nilichojiuliza yeye si msemaji wa serikali wala si msemaji wa CCM, sasa kawajibu maaskofu kama nani hasa? yeye ni mtendaji au mtumishi wa serikali tu na anapaswa kujikita kushughulikia matatizo lukuki ya maji hiyo kazi angewaachia watu kama wakina bulembo na polepole au bashite...
 
Na kwamba waliosema EL ni fisadi toka 2008 na ghafla 2015 wakasema ni mtu safi na shujaa wote ni vigeugeu, wanafki na wasaliti!
Sasa useme hapa nani si kigeugeu, mnafki na msaliti nchi hii we juvenile taahira...
 
Kumshambulia sio njia sahihi

Kila mtu anamtanzamo wake na ana maoni yake

Hata kama huyakubaliani na mtazamo wako na hili ndo kosa La tuliowengi .

Ukiwa hukubaliani na mawazo ya mwenzako unayaheshimu na kuto kuyazingatia.
Kama uprofesa kaupata kwa mawazo mengine kumbe hakuwa mkweli siyo profesa huyo. Aeleze kwanini amegeuka arudishe na cheti mjinga huyo
 
Kumshambulia sio njia sahihi

Kila mtu anamtanzamo wake na ana maoni yake

Hata kama huyakubaliani na mtazamo wako na hili ndo kosa La tuliowengi .

Ukiwa hukubaliani na mawazo ya mwenzako unayaheshimu na kuto kuyazingatia.
Asitegemee atakuwepo maisha yake yote mpk anapoteza ukweli na heshona yake. Atulie kwani mpk asema
 
rodrick hebu thibitisha unamaanisha ulichokiandika
"Kuhusu Kabudi na Kitilya kubadili mtazamo wao inaonyesha jinsi gani alivyo mchanga kwenye siasa kwani serikali ni system ambayo kama ulikuwa ukiipinga nje ukiingia ndani yake lazima ukubaliane nayo"

halafu kumbuka unaingia na PhD, halafu jieleze zaidi.
 
Uprofesa kama ungekuwa unafutwa hawa wangefutwa

Kuna haja ya kuwepo na regulatory body ambayo inakuwa ikisimamia mienendo ya hao maproffessors !
Na Waweke kanuni atakaekiuka afutwe uanachama!
 
nakukumbuka ewe kilila nakukumbuka mwalimu .nakukumbuka pale theatre 1 ulizungumza na kuhubir kuhusu social psychology! ni wewe mkumbo . uliwafelisha watu ati kwa kuwa walikariri na hawakuwa wanadadisi.leo watu wanadadisi juu ya haki, uhuru nk
 
Prof wa kiswahili anapewa ukatibu wa Wizara ili akaongeze engineers

Kiswahili na Darcy's wesbech or Manning equation kwenye maji ataelewa kwel huyu
 
Mana-CCM yote katika awamu hii akili zimeshikiliwa Chattle ukileta kujua tu tunakutumbua! Ukikuta li profeserii utashangaa linavyoongea ujinga! Na hayajagundua kama akili yanayoitegemea ni ya taahira! KWISHA HABARI YETU!!
 
Kitia utumbo anajali maslahi yake...tumbo lake na watu wake hiyo no dhahiri. Yuko tayari kubishana na Manisa lililomlea kiimani kiss kumtetea bwana wake ampaye kula na kunywa hadi kuvimbiwa.
Aendelee aonavyo inamfaa,hapo alipo anaweza mkana yeyotee! Aibu ya uprofesa wa Tz
 
Ni huyuhuyu kitila mkumbo ndo alikua wa kwanza kuitetea ile PhD ya maganda ya zao pendwa kutoka mtwara.

Akitamba kua UDS hakuwezi kutolewa PhD ya kuungaunga,sasa yeye ametoka hadharani na kuidharirisha jamii ya PhD holders.

Inafika mahali naamini kua bongo hii tuna waganga njaa tuu,na si wasomi.kwani moja ya sifa ya usomi ni kukifia unachokiamini.

Yote kwa yote namsifu sana mzilankende kwa jinsi anavyo waumbua wasomi njaaa kwa kuwateua,ili jamii ijionee yenyewe aina ya walimu wanaofundisha huko vyuoni kwetu.

Kwangu mimi siku kitila na kabudi walipo kubali uteuzi tuuu.nilipiga magoti na kusali
 
Chadema sjui ukawa wamekuwa kama mashetani au mtoto aliyefiwa na mama yake na kulelewa na mama Wa kambo!!ni jamii ya watu Wa hovyo kabisa ambayo kazi yao ni matusi ,kukejeli na kudharau wakubwa zao!!ukoo Wa panya
 
Kumshambulia sio njia sahihi

Kila mtu anamtanzamo wake na ana maoni yake

Hata kama huyakubaliani na mtazamo wako na hili ndo kosa La tuliowengi .

Ukiwa hukubaliani na mawazo ya mwenzako unayaheshimu na kuto kuyazingatia.
Basi tuseme aandamwa au azongwa na wanafunzi wake
 
TUMEKOSA SANA, TUMEKOSA SANA, TUMEKOSA SANA TUMUOMBE MUNGU AWASAIDIE WASOMI WETU WAJUE NINI MAANA YA SIASA,. VIJANA WENGI WANAPOTEA SABABU YA NJAA....
 
Back
Top Bottom