Prof. Kikwete

Prof. Kikwete

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
D92A7275.jpg

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD="class: tr-caption"]President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete being awarded Honorary Professorship at the China Agricultural University in Beijing this evening. On the left is Chair of the University Council Jiang Peimin and on the right is the University's President Professor KE Bingsheng. (Photo: Freddy Maro/ The State House)[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
D92A7262.jpg
 
Wanampa u-profesa ili achekecheke wachote Mali zetu, dah jamaaa wanateknik
 
ingekuwa kapewa nchi nyingine sawa lakini china.. ptuuu!
 
Kaa hivyo hivyo kuwadharau wachina
 

Attachments

  • 1414174642639.jpg
    1414174642639.jpg
    97.8 KB · Views: 448
Education system
 

Attachments

  • 1414175317304.jpg
    1414175317304.jpg
    108.4 KB · Views: 350
Heshima sio mpaka uproffesor.Nyerere na wengi ambao dunia inawaheshimu na kuwakumbuka hawana uprofessor."
 
Halafu nyinyi mnamuwekea zulia anapopanda mti ili asichafuke na udongo!1
 
Huyu ni Professor wa Siasa halisi sio za Darasani, Yule Profesa wa Darasani mlimkabidhi akili akawatoa Bungeni eti kukwamisha Katiba, mara akawashika akili akina Deus Kibamba eti wakafunge Milango ya Bunge kwa vurugu, mara Maandamano ya nchi nzima kusitisha Bunge, Mara wakamtuma Kubenea Mahakamani Mwishowe katiba imepita Bungeni na kinachofata sasa ni kupata theluthi mbili ya kura za Ndio nchi nzima, Kuanzia Kilimanjaro mpaka Pemba.
 
Sasa nakiona kitabu cha A man of the people kinavyogusa maisha ya Tanzania.
Foolish!!!.
 
professor wa kichina, product ya china hiyo last grade.
 
Dah yaani huyu jamaa kapata hadi Uprofesa. Elimu kwa kweli inashuka
 
Bidhaa zinatoa majibu ya wachina sasaaaaa....... Do....... Ehee... Mungu baba tupe maarifa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom