figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,560
- 62,138
Safari za Kikwete zina manufaa sana.kwa Taifa
Ile ndege ambayo Mramba alikuwa radhi tule majani ili inunuliwe iko gereji au!!
Siku ishirini Kikwete atatumia zaidi ya milioni mia moja kwa matanuzi!!
Akili za wanaccm hizi.Kilaza wewe misaada kwa ajili ya familia yako huwa unaombea wapi?Ilikuwaje matonya mkawa mnamrudisha Dodoma hali yeye,rais wako na wewe mwenyewe akili ni mojaMwache akatutafutie misaada pamoja na wawekezaji
Hivi ccm tupo hivi au ni ujinga wako tuSafari za Kikwete zina manufaa sana.kwa Taifa
Mkuu,kwa nini unapenda kutafutia watu ban??. shenzy type kabisa!!Safari za Kikwete zina manufaa sana.kwa Taifa
Mwache akatutafutie misaada pamoja na wawekezaji