Prof Kabudi, tumejitokeza kiwanjani - what's next?

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
2,091
Reaction score
1,917
  • Wananchi ni wazalendo
  • Wachezaji ni wazalendo zaidi
  • Viongozi ni wazalendo kiasi

Sasa:-
Mpira ni uwekezaji, tena wa muda mrefu - ili tupate ushindi.
  • Leo goli la mguu limegoma;
  • Goli la kichwa limegoma;
  • Goli la mkono nalo limegoma!

Watanzania wanaumia!
 
Timu ya CCM haijawahi kushinda ,Leo nimefurahi sana timu yao kutolewa
 
Mimi hapa nafurahi na bia inashuka balaa
Tuliwacheka majirani, halafu dk 10 baadae nikaona na sisi tutachekwa, aliyechekwa kwanza na aliyechekwa mwisho. Unatoaje advance ya ahadi kwenye football, ngoja tuone majirani wengine sikumbuki kama walitoa ahadi in advance, majirani na sisi uchafuzi unatitia aibu
 
Kwa hiyo hata hizo Hela, kama kweli walipewa wachezaji kabla ya mechi itabidi warudishe au?$
 
 
Kwani mama yenu leo hajaupiga mwingi? Sijasikia goli la mama yenu au leo hajacheza? Kiufupi nimefurahi sana.
 
Walisahau kuunganisha mifumo
 
Aisee mi nitoe kwa watanzania walioumia Simo nimefurahi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…