Prof Kabudi: Kiswahili kinapotoshwa, neno Fisadi maana yake ni mtu anayetongoza wake za watu

"Kuchakachua maana yake ni kuchanganya kimiminika kisicho na ubora na kile chenye ubora ili kuongeza thamani."

Kwani kuchakachua imetumika tofauti na hichi alichomaanisha ?

"Najua umenizidi umri ila neno Pumbavu linanitoka haraka haraka "
Wanaposema uchaguzi umechakachuliwa, Je hicho ni kimiminika?!
 
Kabudi akipata madaraka ya juu kabisa ya nchi, atakuwa Dikteta mmoja hatari hajawahi kutokea Afrika!
Ndiyo maana ya usemi ndege wafananao huruka pamoja! Sikushangaa alipodai kaepuliwa jalalani ila kinachonishangaza ni hapo alipo sasa hivi, je nako si jalalani? Tusije tukashangaa kesho maelezo yakitolewa kwamba neno jalala tafsiri yake inapotoshwa na kwamba linatumika visivyo. Vya jalalani ni heri vikabaki jalalani, huku nje havikosi kutoa harufu.
 
Mgogo na Kiswahili wapi na wapi?

Asili ya neno Fisadi ni neno la kiarabu yenye maana ya Haribifu

Hata kwny Qur an neno fisadi linatamkwa kama neno lenye kuashiria uharibifu katika Ardhi

Tatizo la huyu mipovu ni kuamini anajua kila kitu
Punguza chuki shekh kila mtu na bahati yake
 
Mgogo na Kiswahili wapi na wapi?

Asili ya neno Fisadi ni neno la kiarabu yenye maana ya Haribifu

Hata kwny Qur an neno fisadi linatamkwa kama neno lenye kuashiria uharibifu katika Ardhi

Tatizo la huyu mipovu ni kuamini anajua kila kitu
huyo mgogo ana tabu sana, anajifanya kujua kila kitu
 
Kwa hiyo aliyemtoa jalalani huko vumbini kajenga mahakama ya wagoni?

Nasubiri siku ataoe maana ya kileksika ya neno "beberu".
Naona wanalitumia sana
 
M.pumbavu yeye
 
Mgogo na Kiswahili wapi na wapi?

Asili ya neno Fisadi ni neno la kiarabu yenye maana ya Haribifu

Hata kwny Qur an neno fisadi linatamkwa kama neno lenye kuashiria uharibifu katika Ardhi

Tatizo la huyu mipovu ni kuamini anajua kila kitu
Kwahyo anayetongoza wake za watu sio mharibifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…