Elice Elly
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 1,267
- 1,593
mwisho wa siku huyo lisu wenuwala atakua hajawasaidia kwa lolote, atatulia km sio mwanasiasa na maisha yatasonga. acheni ushabiki usio na tija, ccm ni chama makini sana hakiwezi kushindana na huyo mpuizi wenu
😀😀😀Haaaaa.....Prof Kabudi ====Waziri wa Tundu Lissu na ushirikiano wa A Mashariki[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabudi wa kabla kuwa Waziri,na Kabudi Waziri,wakikutana kwa hoja za enzi hizo na hoja za sasa,watapigana bila ubishi wowoteNimemsikia Kabudi Akibweka Kama Mbwa Koko mbele ya Wageni Wa Boss wake Lakini Kombora Limeshatumwa From Belgium na Kumkalisha Kimya..hii ndio hasara ya Kuweka Ubongo Matakoni na Kuanza kutumia Tumbo Kufikiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
mwisho wa siku huyo lisu wenuwala atakua hajawasaidia kwa lolote, atatulia km sio mwanasiasa na maisha yatasonga. acheni ushabiki usio na tija, ccm ni chama makini sana hakiwezi kushindana na huyo mpuizi wenu
Tatizo la walimu wanadhani kila MTU ni mwanafunzi wao. Wanafokafoka tu
Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
Huwa ananikera anavyotemea mimate kameraKabudi ametuaibisha wanaume wenzake
Lissu versus ccm dakika ya 25 tayari mmefanya sub ya 3 maana mlianza na yule ally possible mkaja na mliemuita mwanasheria anakaa America miaka kedekede kijana wangu anajua English kumshinda now mmeleta sub ya 3 na ya mwisho [emoji1] [emoji1] [emoji1]mwisho wa siku huyo lisu wenuwala atakua hajawasaidia kwa lolote, atatulia km sio mwanasiasa na maisha yatasonga. acheni ushabiki usio na tija, ccm ni chama makini sana hakiwezi kushindana na huyo mpuizi wenu
Hivi kabudi anadiriki kutaka watu wanyamaze?profesor wa wapi huyu jaman khaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nooo
Hayo kamuambie Kabudi sio sisi!!mwisho wa siku huyo lisu wenuwala atakua hajawasaidia kwa lolote, atatulia km sio mwanasiasa na maisha yatasonga. acheni ushabiki usio na tija, ccm ni chama makini sana hakiwezi kushindana na huyo mpuizi wenu
Nimemsikia Kabudi Akibweka Kama Mbwa Koko mbele ya Wageni Wa Boss wake Lakini Kombora Limeshatumwa From Belgium na Kumkalisha Kimya..hii ndio hasara ya Kuweka Ubongo Matakoni na Kuanza kutumia Tumbo Kufikiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa. Hizi si zama za hapa kazi lakini?Kaskazini kazini