Tetesi: Prof Kabudi anaweza kuwa next president of Tanzania 2025

sitashangaa maana urais wa Tanzania ni kazi nyepesi sana zaidi ya karatasi, siku hizi kila mmoja anauweza, na wapiga kula wetu ndo hawa wenye sifa ya kuwa mtanzania uliyetimiza vigezo wa kupiga kura,
 
Mh. Magufuli your doing amazing job kweli Prof Kabudi anaonyesha mwanga wa kukurithi pasipo majivuno ila utumishi ulio tukuka. Nisije toa siri zaidi ila muda utajibu haya.
Basi sasa Mwijage naye aweza kuwa Rais
 
Watu wengine sijui vipi, mtu yoyote anaweza kuwa rais wa Tanzania, naamanisha mtu yeyote unayemwona huko barabarani achilia mbali huko kwenye TV. Kuwa rais wa Tanzania huhitaji hata kuwa na brain, sasa nani atashindwa kuwa rais. Acheni hizo, fancy fancy words wakati pumba tu
 
Mh. Magufuli your doing amazing job kweli Prof Kabudi anaonyesha mwanga wa kukurithi pasipo majivuno ila utumishi ulio tukuka. Nisije toa siri zaidi ila muda utajibu haya.
ina maana tunaendelea na huyu mpaka 2025?
 
Mungu wangu!! Nchi hii iongozwe na mtu anayebadilika kama kinyonga? Mambo mengine tusiyaombee mkuu!!
 
Mh. Magufuli your doing amazing job kweli Prof Kabudi anaonyesha mwanga wa kukurithi pasipo majivuno ila utumishi ulio tukuka. Nisije toa siri zaidi ila muda utajibu haya.
kwa lipi kuu alilokwishalifanyia taifa au chama chake,
 
Mungu anapingwa wazi wazi ije kuwa wewe, hata mie naungane nawe ktk hilo
 
Mh. Magufuli your doing amazing job kweli Prof Kabudi anaonyesha mwanga wa kukurithi pasipo majivuno ila utumishi ulio tukuka. Nisije toa siri zaidi ila muda utajibu haya.
Watanzania kweli ila kauli ya marehemu Jomo Kenyatta yahusika.
Pamoja na kumgundua Kabudi kuwa mtu wa sound kama Mwijage bado kuna watu wanafikira hizi?
Ndio maana hata wakati ule watu walikoshwa na push up na mapanga shaa ya TMK

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom