Tetesi: Prof Kabudi anaweza kuwa next president of Tanzania 2025

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Mh. Magufuli your doing amazing job kweli Prof Kabudi anaonyesha mwanga wa kukurithi pasipo majivuno ila utumishi ulio tukuka. Nisije toa siri zaidi ila muda utajibu haya.

Ile nyota ya mh Prof Kabudi inazidi kung'ara mithili ya nyota ya asubuhi. Naili ku proof maneno yangu jana tarehe 03.03.2019 Rahisi amempa kuwa. Waziri wa mambo. Ya nje hii ni Dalili tosha Prof amekuna moyo wa Mkuu wa nchi. Na niukweli usio pingika jamaa ataenda kufanya maajabu maana hajawahi shindwa
Prof Kabudi ni jemendari wa aina hii ya siasa.
 
Mh. Magufuli your doing amazing job kweli Prof Kabudi anaonyesha mwanga wa kukurithi pasipo majivuno ila utumishi ulio tukuka. Nisije toa siri zaidi ila muda utajibu haya.
rekebisha kizungu chako kwanza afu usiandike kama unakimbizwa.

kwanini unahisi anaweza kuwa next prezdaa?

huku unamsifia magu huku kabudi tukueleweje
 
Back
Top Bottom