Tetesi: Prof Kabudi anaweza kuwa next president of Tanzania 2025

namkubali sn huyu gwiji La sheria lkn kaulizwa swali la uraia pacha naona anaruka ruka tu anapepesa macho inshort kashindwa kujibu
 
Umebaguliwa kwa kitu kipi?wewe umeandika tufate historia sasa nimeandika historia unanita mbaguzi,na ile tanganyika law society je nao ni wabaguzi
Kujiita mtanganyika ni ubaguzi mkubwa kwa wazanzibar, maana tunatakiwa kuungana hata ikibidi Africa iwe moja. Wewe unaleta mambo ya Tanganyika. Nb: hakuna mahali nimeandika tufuate historia. Nimesema kama hujui historia utajidharau, be smart to understand the line.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaelekea haya makontena yanaharufu ya jinai kwanini nkuu wa nkoa bado yupo ofisini tu ?
Kinachosikitisha zaidi the way alivyolitatua hili tatizo mheshimiwa rais ilikuwa as if anamuaddress kiongozi mkuu wa nchi na siyo Mteule wake.

Hebu achukue maamuzi ya kinidhamu kwa nkuu wa nkoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The biggest smart liar, hasa pale alipo twist 180° kuhusu his position on New Constitution proposal..!! Mfia tumbo huyu..!!
 
Tatizo sio kulipa kodi, hamna raia asiyejua kodi ni jambo muhimu. Tatizo ni wao kutaka kutumia mamlaka yao vibaya kukwepa kodi kwa expense ya wananchi wanaohitaji huduma!.
Labda tuulize matangazo hayo amelipia na kama yamelipiwa, yametoa kodi.
Kama hayajalipiwa ni lazima yalipiwe kodi.
TBC ni shirika la umma na linajiendesha kibiashara hatutegemei bure bure bila kulipa kodi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujiita mtanganyika ni ubaguzi mkubwa kwa wazanzibar, maana tunatakiwa kuungana hata ikibidi Africa iwe moja. Wewe unaleta mambo ya Tanganyika. Nb: hakuna mahali nimeandika tufuate historia. Nimesema kama hujui historia utajidharau, be smart to understand the line.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mtanganyika ni tusi ila mzanzibar sio tusi,hemu acha kupapatika mkuu,wewe ni mtanganyika period.
 
Back
Top Bottom