Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
thanks for adding the photos after my request (timing post #3 to #4 = 0935 and 1001 (last edited by mfunyukuzi)
Good memoriesthanks for adding the photos after my request (timing post #3 to #4 = 0935 and 1001 (last edited by mfunyukuzi)
check mate!
Mungu akiniweka hai natamani sana nifike Hapo alipolala Bruce Lee, nikamuone Ronaldinho na alipolala Lucky Dube.
Sijui itawezekana vipi kutimiza haya🙄
Situmii kilevi chochote Kiongozi wanguHela zenyewe za nauli unazitandika bia.
Situmii kilevi chochote Kiongozi wangu
watu wengi waliopo ughaibuni saivi (mind you WENGI) Ni watu waliokua vijana ama watoto enzi za ay, Jude, prof na wenzake, hivyo Ni rahisi kuona hajatoa ngoma yoyote ile anaenda ughaibuni kuperform, kwa sababu waliupenda mziki wait enzi zile. Mfano Mimi sisikilizi nyimbo mpya za lil Wayne, Chris brown, TI, na wakongwe wengineo (nimetaka hao Mana ndio niliokuwa nawasikiliza Sana) Bali Nina playlist zao za zamani naendelea kuzisikiliza Sana Hadi vijana wa 20 wa Leo kweli wananishangaa nasikilizaje deuces ya mwaka 2008 nk. Kachelewa Sana mwenzie AY alishajua Hilo na alilifanyia kazi siku nyingi Sana, ndo Mana ulikua unashangaa mbona ay Hana wimbo mwaka wa 8 huu ila Ana show Texas sijui wapi nk.