Prof. JAY Seatle tour in pictures

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Prof Jay Ndani ya Microsoft kwa Gates


Hapa akichukua mikoba toka kwenye makaburi ya BRUCE and BRANDON LEE

7.jpg
2.jpg
10.jpg


Hapa akiperform and chilling with Seatle fans
 
Yes...namkubali sana mheshimiwa......! yupo very consistent kwenye game.....he was there....he is here....and will be there to stand.....!
 
duh... sasa alikwenda kuperform kwa bruce lee au... sioni picha akiwa kwenye shoo

au alikua ziara ya kidini?
 
Mungu akiniweka hai natamani sana nifike Hapo alipolala Bruce Lee, nikamuone Ronaldinho na alipolala Lucky Dube.
Sijui itawezekana vipi kutimiza haya🙄
 
Prof Jay Ndani ya Microsoft kwa Gates


Hapa akichukua mikoba toka kwenye makaburi ya BRUCE and BRANDON LEE

7.jpg
2.jpg
10.jpg


Hapa akiperform and chilling with Seatle fans
watu wengi waliopo ughaibuni saivi (mind you WENGI) Ni watu waliokua vijana ama watoto enzi za ay, Jude, prof na wenzake, hivyo Ni rahisi kuona hajatoa ngoma yoyote ile anaenda ughaibuni kuperform, kwa sababu waliupenda mziki wait enzi zile. Mfano Mimi sisikilizi nyimbo mpya za lil Wayne, Chris brown, TI, na wakongwe wengineo (nimetaka hao Mana ndio niliokuwa nawasikiliza Sana) Bali Nina playlist zao za zamani naendelea kuzisikiliza Sana Hadi vijana wa 20 wa Leo kweli wananishangaa nasikilizaje deuces ya mwaka 2008 nk. Kachelewa Sana mwenzie AY alishajua Hilo na alilifanyia kazi siku nyingi Sana, ndo Mana ulikua unashangaa mbona ay Hana wimbo mwaka wa 8 huu ila Ana show Texas sijui wapi nk.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom