Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,982
- 2,938
Kushindaa hata kidogo maana ni muongooooProf.Janabi akiambiwa uongo wake na Mkali wa Bio-Chemistry View attachment 3309840
Analipwa fadhila Kwa kazi FulaniNingetamani sana kama Janabi angejibu uongo wake kwa maelezo kama hayo ya huyo jamaa.
Mi najiuliza kwanini wana mnadi Afrika nzima? Akishinda tunapata faida gani, kuna upigaji au kujipendelea ?
Na gharama za kumzungusha Afrika nzima zinatoka mfuko gani nchi hii? ni zake binafsi au za umaa?
CAG atueleze mwakani tulitumia Bilioni ngapi kumnadi Janabi Afrika na tumepata faida gani au hasara kiasi gani.
Sasa Janabi anasema sukari ya jikoni ni glucose?Watanzania tujifunze namna ya kuchakata taarifa siyo kila tunachokiona mitandaoni tunakibeba tu.
Sasa huyu mzungu ameonyesha uongo gani wa alichosema Janabi? mbona kwenye video ameenda tu expand na kutolea maelezo zaidi yale aliyoyasema Prof.
Tuzingatie kwamba Janabi alikua naongea kwenye hadhara ya watu ambayo angeanza kubreak down hizo molecules wasingemuelewa, ametumia glocose kwenye maelezo kwa sababu ni aina ya sukari inayojulikana zaidi na watanzania kuliko hizo nyingine.
Kwenye Muktadha wa nutrition, kula mchanganyiko wa matunda (fruit salad) kunasababisha kuconsume kiasi kikubwa cha sukari kwa sababu matunda yanatofautiana viwango vya aina za sukari zilivyonavyo. Kijiko kimoja kidogo cha sukari ni gramu 5, sasa fikiria ukijaza bakuli la mchanganyiko wa matunda umeweka ndizi, zabibu, embe, nanasi na machungwa, unakula gramu ngapi za sukari kwa mlo mmoja (matunda yana virutubisho na faida nyingi kwenye lishe hasa kwenye kutengeneza mlo kamili, ila ni muhimu yaliwe kwa kiasi).
Huyu mzungu anawapotosha na watu mnashupaza vichwa tu kijinga jinga, "za kuambiwa changanya na zako, sivyo utapoteana mjini hapa".
"Jedwali la kiwango cha sukari kwa kila gramu 100 ya matunda"
View attachment 3310073
Kumbe Mshangazi.com umeliona hilo? Hata mimi nimelisemea hapo juu, vijana wa Kitanzania wanachoweza ni kubeza wasomi wetu tu! Sijaona cha maana alicholelezea huyo mzungu!Hata mimi nimeshangaa sana, sasa prof angeanza kuelezea haya 👇 kwenye hiyo hadhara watu wangemuelewa.
View attachment 3310088
ila nimelijibia kwa urefu hapo juu Prof Janabi awekwa mtu kati japo mimi sikua mwanafunzi wa Prof. 😅
Wataishia kupigwa bastola za makalio na Traore😂😂😂Na kikwete Bado anazurula naye ikulu za watu huko
Watakunja ngumi mpaka wachoke tu. Janabi mwenyewe inasemekana wala siyo daktari bingwa kaunga unga tu. Sasa amekomaa na mambo ya lishe wakati wala siyo uwanja wake wa kitaaluma. Ndo maana anaishia kushushuliwa kwa kutulisha matango pori 😂😂😂
View attachment 3309869
Koh kohProf.Janabi akiambiwa uongo wake na Mkali wa Bio-Chemistry View attachment 3309840
Weka research acha manenoWatanzania tujifunze namna ya kuchakata taarifa siyo kila tunachokiona mitandaoni tunakibeba tu.
Sasa huyu mzungu ameonyesha uongo gani wa alichosema Janabi? mbona kwenye video ameenda tu expand na kutolea maelezo zaidi yale aliyoyasema Prof.
Tuzingatie kwamba Janabi alikua naongea kwenye hadhara ya watu ambayo angeanza kubreak down hizo molecules wasingemuelewa, ametumia glocose kwenye maelezo kwa sababu ni aina ya sukari inayojulikana zaidi na watanzania kuliko hizo nyingine.
Kwenye Muktadha wa nutrition, kula mchanganyiko wa matunda (fruit salad) kunasababisha kuconsume kiasi kikubwa cha sukari kwa sababu matunda yanatofautiana viwango vya aina za sukari zilivyonavyo. Kijiko kimoja kidogo cha sukari ni gramu 5, sasa fikiria ukijaza bakuli la mchanganyiko wa matunda umeweka ndizi, zabibu, embe, nanasi na machungwa, unakula gramu ngapi za sukari kwa mlo mmoja (matunda yana virutubisho na faida nyingi kwenye lishe hasa kwenye kutengeneza mlo kamili, ila ni muhimu yaliwe kwa kiasi).
Huyu mzungu anawapotosha na watu mnashupaza vichwa tu kijinga jinga, "za kuambiwa changanya na zako, sivyo utapoteana mjini hapa".
"Jedwali la kiwango cha sukari kwa kila gramu 100 ya matunda"
View attachment 3310073
Malofa watakubishia..ila kwa kifupi huyu jamaa hamna kitu..Nilishawahi kusema kuwa janabi sio doctor kabisa hata Elimu yake inajieleza.
Watu hawaelewi mkuu...MCT tu wenyewe hawamtambui.Malofa watakubishia..ila kwa kifupi huyu jamaa hamna kitu...
Mbn ni mifupa tu..hata jamaa anayemchukua video kama anamshangaa hivi
Mwamba anakula mara moja kwa siku tena mlo kiduchu ili aishi maisha marefu. Pathetic!
Glugoce ni simplest form of sugar, sugar ziko za aina tofauti, japo ipi ndani lakin hamna chemist yoyote atakae iita table sugar ni glucose ata awe amelewa chakaliTuambie mtaalamu, table sugar ni mchanganyiko wa vitu gani?
Je haina glucose?
Kajichanganya mwenyewe Na kiukweli Yote Aliyosema Kaenda Chaka 😀🤣🤣🤣DR Mambo Jambo njoo umnasue daktari mwenzie huku, waja wanaanza kumshambulia hovyo
Soma hapo, ni daktariNilishawahi kusema kuwa janabi sio doctor kabisa hata Elimu yake inajieleza.
Mct inamtambua, kamaliza digrii ya kwanza ya udaktari mwaka 1989 Ukraine.Watu hawaelewi mkuu...MCT tu wenyewe hawamtambui.
Anaongea manini huyuProf.Janabi akiambiwa uongo wake na Mkali wa Bio-Chemistry View attachment 3309840