matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,511
Sucrose = fructose+ glucoseProf.Janabi akiambiwa uongo wake na Mkali wa Bio-Chemistry View attachment 3309840
AaaahaaJanabi kawekewa fact tupu
Na yeye alitaka kumpa tano KanaliWatakunja ngumi mpaka wachoke tu. Janabi mwenyewe inasemekana wala siyo daktari bingwa kaunga unga tu. Sasa amekomaa na mambo ya lishe wakati wala siyo uwanja wake wa kitaaluma. Ndo maana anaishia kushushuliwa kwa kutulisha matango pori 😂😂😂
View attachment 3309869
Watanzania tujifunze namna ya kuchakata taarifa siyo kila tunachokiona mitandaoni tunakibeba tu.Prof.Janabi akiambiwa uongo wake na Mkali wa Bio-Chemistry View attachment 3309840
Hata mimi nimeshangaa sana, sasa prof angeanza kuelezea haya 👇 kwenye hiyo hadhira watu wangemuelewa.Au tunashadadia kwa vile amesema mzungu? Ina maana Tanzania hatuna wasomi waliokuwa wanafahamu hizo hoja anazokuja nazo mzungu? Ni vipi kama Janabi alikuwa anazungumzia hakuna ulazima wa kuchanganya matunda kama kote unaweza kupata fructose, maltose na sucrose? Hatuoni kama ukiyachanganya unaweza kuzidisha kiwango kinachojitajika na mwili? Wacha nisubiri wanafunzi wa Prof. Janabi wanavyoweza kumnasua mwalimu wao katika hili!
Ushauri wangu,kula matunda,aka vitu vya asili zaidi kuliko vyakula vya viwandani aka processed food,fanya mazoezi,pumzika angalau masaa 7, kwafupi kila unachokula kula/kunywa Kiasi itakusaidia sn kulinda mwili wako.Prof.Janabi akiambiwa uongo wake na Mkali wa Bio-Chemistry View attachment 3309840
Wanaochagua kama ni wafrika i know how Africans are corrupt.Wanatumia tu kodi zetu bure, warudi nyumbani tuendelee kula mihogo.....hapati hiyo nafasi
Hajui bio chemistry yule mzee, anawambia watu wanywe kijiko kimoja cha ujii😂, wakati mtu mume, anatakiwa ale calories si chini ya 2700 Sasa pigia kijiko kimoja ninkama mls 20 ivi, si ni bangi hiyoProf.Janabi akiambiwa uongo wake na Mkali wa Bio-Chemistry View attachment 3309840
Yani ni zaidi ya fake, anatuambia table sugar ni glucose😂Janaba ni xheti fake,
Mtumishi hewa!
Kikwete ameingia kwenye mfumoNa kikwete Bado anazurula naye ikulu za watu huko
Tuambie mtaalamu, table sugar ni mchanganyiko wa vitu gani?Yani ni zaidi ya fake, anatuambia table sugar ni glucose😂
Daah nimecheka sana qmmk 🤣🤣🤣Watakunja ngumi mpaka wachoke tu. Janabi mwenyewe inasemekana wala siyo daktari bingwa kaunga unga tu. Sasa amekomaa na mambo ya lishe wakati wala siyo uwanja wake wa kitaaluma. Ndo maana anaishia kushushuliwa kwa kutulisha matango pori 😂😂😂
View attachment 3309869
Bora hata aijue hiyo lishe katakuja kaanguke watu waseme kamelogwa kumbe njaaNaona tapeli wa elimu anazidi kubabuliwa!
Profesa wa lishe...