Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mtaa wa Kimara Matangini kimeandaa mkutano mkubwa, utakao fanyika katika viwanja vya Kimara mwisho stand siku ya tarehe 1/05/2015.
Mgeni rasmi katika mkutano huo atakua prof J.
Upatapo tarifa hi mjulishe na mwenzio karibu sana.
unahoji kama nani,chadema inakuhusu niniPro J wa CDM ndo nani huyo, anawadhifa gani katika Chama hadi kuwa mgeni rasmi? Nauliza tu?