ELIJAH KING Jr
Member
- Feb 22, 2011
- 21
- 1
- Thread starter
- #21
kesho ni moshi Arusha hilo umeleta weweSio Moshi ni Arusha. Askofu MASANGWA WA Dayosisi ya Kaskazini kati - Arusha.Huyu ni Askofu mteule badala ya Laizer aliyefariki mwaka juzi.
Mwambieni REGINALD MENGI awepo kesho ili rais aongelee ya Muhongo, mzee wa kazi.Karibu zako Mtukufu Rais wetu Dr. Prof. Mjeshi, JK Moshi. Natamani useme neno moja tu kuhusu Escrow Mtukufu Rais wetu mpendwa watanzania tunasubiri mno kile kiporo chetu ulituahidi tutanywea chai baada ya ule mkutano wako na wazee wetu pale Diamond. Mtukufu Rais, si vibaya ukasema pia na wazee wa Moshi leo kuwa upelelezi umefikia wapi. Usinielewe vibaya Baba yangu, ni masikio yanawasha tangu siku ile ya tatu. Moyo unalia nku nku nkuu
niende wapi wewe akili ndogoELIJAH, upo au umesepa?