Prof j.k kikwete kesho atakuwa moshi.

Prof j.k kikwete kesho atakuwa moshi.

Status
Not open for further replies.
Joined
Feb 22, 2011
Posts
21
Reaction score
1
Habari za ukweli kesho prof atakuwa Moshi Mjini kama Mgeni rasmi katika shughuli ya kumsimika Askofu wa KKKT
 
Kani Askofu anasimikwa na Rais? Toka lini Tanzania tunafuata mfumo Kristo?
 
Umevurugwa, rais ni mgeni rasmi, hasimiki askofu, hilo siyo jukumu lake.
 
Kani Askofu anasimikwa na Rais? Toka lini Tanzania tunafuata mfumo Kristo?
Wewe Chabruma ma.. Ta... Ko .. Yako kwani lazima u comment kila kitu shwaini mkubwa wewe
 
Wewe Chabruma ma.. Ta... Ko .. Yako kwani lazima u comment kila kitu shwaini mkubwa wewe
Hahaa, kwani kwani kuna mada kwa ajili ya watu fulani pekee! Acha kumuonea CHABRUMA.
 
Wewe Chabruma ma.. Ta... Ko .. Yako kwani lazima u comment kila kitu shwaini mkubwa wewe
Mkuu, matusi ya nini tena? Me nimeuliza tu swali. Kama huna jibu ni bora ukae kimya
 
Hahaa, kwani kwani kuna mada kwa ajili ya watu fulani pekee! Acha kumuonea CHABRUMA.
Mkuu, hawa jamaa ni watu wa ajabu sana. Sijui wana lengo gani kuanzisha mada then wanaogopa watu tukichangia
 
Siyo hivyo mkuu, uzoefu unaonesha mada ambazo hazina kichwa wala miguu huwa zinawekwa na wahuni wa BAVICHA, sasa tangu lini rais akamsimikaaskofu kama siyo ulevi?
Nakubaliana na wewe Mkuu. Niliuliza swali wa ustaarabu mkubwa ila nashangaa majibu niliyopewa!
 
Sio Moshi ni Arusha. Askofu MASANGWA WA Dayosisi ya Kaskazini kati - Arusha.Huyu ni Askofu mteule badala ya Laizer aliyefariki mwaka juzi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom