Prof Issa Shivji atoa Sifa kuu nne za uongozi bora

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,628
6,669
profesor Issa Shivji amejaribu kutanabaisha sifa nne za kiongoz japo kwa ufupi lakini zinaeleweka safi kabisa

1. kiongozi bora huwashawishi, sio kuwashambulia wananchi wake

2. Kiongozi bora huwaeleza, sio kuwabeza wananchi wake

3. Kiongozi bora huwavumilia, sio kuwavurumisha wananchi wake

4.kiongozi bora huamsha nia, na kuoneshwa njia wananchi wake

My take; watanzania tunashambuliwa,tunabezwa, tunavurumishwa, na tunapotezwa njia!
[HASHTAG]#twafwaaaa[/HASHTAG]
 
Hawa Maprof ni hovyo tu usiwasikilize hata kidogo ni wachumia tumbo tu!!! Kama aliweza kukana andiko lake atashindwa kukana hii ya kwenye mitandao!?? Mtu wa aina hii ni hatari sana kwenye maendeleo na mustakabali wa taifa!!! Ni wa kuogopwa kama njaa!!!!
 
Shivji tangu akane andiko lake kwa kutetea serikali mbili simheshimu tena Kama mwanazuoni namheshimu tuu Kama mtu mzima mzazi ila kwenye taaluma hapana?!
Kweli mkuu
ila kwa andiko hili la uongozi bora unaweza kuhusianisha na hali jinsi ilivyo hapa nchi
utaona amesanifu sana uhalisia!
 
profesor Issa Shivji amejaribu kutanabaisha sifa nne za kiongoz japo kwa ufupi lakini zinaeleweka safi kabisa

1. kiongozi bora huwashawishi, sio kuwashambulia wananchi wake

2. Kiongozi bora huwaeleza, sio kuwabeza wananchi wake

3. Kiongozi bora huwavumilia, sio kuwavurumisha wananchi wake

4.kiongozi bora huamsha nia, na kuoneshwa njia wananchi wake

My take; watanzania tunashambuliwa,tunabezwa, tunavurumishwa, na tunapotezwa njia!
[HASHTAG]#twafwaaaa[/HASHTAG]
Huyu profesa asituletee nadharia za maktaba, ndio mana baadhi Yao wakipewa uongozi unawashinda. Siku zote ipo tofauti Kati ya nadharia na utendaji !
 
Shivji tangu akane andiko lake kwa kutetea serikali mbili simheshimu tena Kama mwanazuoni namheshimu tuu Kama mtu mzima mzazi ila kwenye taaluma hapana?!

Wewe kama mimi tu juu ya hawa wazee, ni kama Mzee Warioba; manyanyaso yote yale halafu akaenda Jangwani kuipigia debe CCM!
 
Ajikalie tu kimya heshima yake kwa Watanzania ilipotea pale tulipotaka katiba mpya inayoendana na karne tuliyopo na akatuangusha.

Watu vigeu geu si wakuamini kabisa. Yaani watu wote walioharibu mchakato wa katiba mpya ndo wametufikisha hapa. Tutawalaumu na vizazi vijavyo vitaendelea kuwalaani.
 
profesor Issa Shivji amejaribu kutanabaisha sifa nne za kiongoz japo kwa ufupi lakini zinaeleweka safi kabisa

1. kiongozi bora huwashawishi, sio kuwashambulia wananchi wake

2. Kiongozi bora huwaeleza, sio kuwabeza wananchi wake

3. Kiongozi bora huwavumilia, sio kuwavurumisha wananchi wake

4.kiongozi bora huamsha nia, na kuoneshwa njia wananchi wake

My take; watanzania tunashambuliwa,tunabezwa, tunavurumishwa, na tunapotezwa njia!
[HASHTAG]#twafwaaaa[/HASHTAG]
Hatuna kiongozi, tuna mtu mmoja aliyekuwa anabeep simu ikapokelewa!
 
Utakuwa Wakala wa SHILAWADU sio bure!

***Ila unaponakili ujumbe wa Mtu fulani ukumbuke kunakili na Chanzo cha Habari!
 
Back
Top Bottom