HISIA KALI
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 694
- 108
haaa kweli hili ni janga lakitaifa duuu kidogo tu udini kumbe jk alimaanisha!mmmh sijui naye ni victim wa udini! May be.
Ni katoka ku-balance mambo, mkoa wa mbeya katoka yeye kaingia Mwakyembe sasa. Huwezi toa mawazili watatu mkoa mmoja
zenj wametoka wangapi? no equilibrium at all! come again.
mmmh sijui naye ni victim wa udini! may be.
haaa kweli hili ni janga lakitaifa duuu kidogo tu udini kumbe jk alimaanisha!
Wakati mhe Kikwete alipopata matatizo afya pale viwanja vya Jangwani kwenye mkutano kampeni Prof David Mwakyusa alisema kuwa yeye kama waziri wa Afya angefuatilia kwa makini afya ya rais wa nchi. Sasa nimishangaa akupewa tena wizara ya Afya na kibaya zaidi ameweka kabisa pembeni.
Zenj wana serikali yao na CUF
Ni katoka ku-balance mambo, mkoa wa mbeya katoka yeye kaingia Mwakyembe sasa. Huwezi toa mawazili watatu mkoa mmoja
mchungaji namaanisha wazanzibar waliomo ktk baraza la mawaziri la muungano population ya zenj inapokuja swala la muungano yafaa kui treat kama mkoa mmoja cause kama nitakuwa sahihi zenj population yao haizidi 2 milion while mikoa mingine ina zaidi ya 2 milion katika swala la usawa naona halina nafasi hapo!