Prof David Mwakyusa ameachwa licha ya kuahidi kufuatilia afya ya Rais kwa karibu

HISIA KALI

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
694
108
Wakati mhe Kikwete alipopata matatizo afya pale viwanja vya Jangwani kwenye mkutano kampeni Prof David Mwakyusa alisema kuwa yeye kama waziri wa Afya angefuatilia kwa makini afya ya rais wa nchi. Sasa nimishangaa akupewa tena wizara ya Afya na kibaya zaidi ameweka kabisa pembeni.
 
Kumbe hafai alikuwa anasema atafuatilia halafu mkulu anadondoka tuu!
 
Ni katoka ku-balance mambo, mkoa wa mbeya katoka yeye kaingia Mwakyembe sasa. Huwezi toa mawazili watatu mkoa mmoja
 
Bora wamempumzisha maana kazidi kuzubaa mpaka watu wanafikiri hawajibiki.
Ukiwa waziri ni lazima uwe mbunifu kama kina magufuli
 
haaa kweli hili ni janga lakitaifa duuu kidogo tu udini kumbe jk alimaanisha!

unajifanya hujui! wale jamaa samahani nawe umo! tunazo taarifa sahihi kwamba mnataka kuisilimisha nchi yetu na kama mjuavyo tulikuwa tumelala nasi tumeamka sasa thats why mlipiga kura ki bloc meaning mikoa yenye idadi kubwa ya waumini wa dini ya kiislamu namba moja na mbili wameshika wagombea wa elimu akhera ilhali maeneo yaliyobaki ndivyo sivyo source matokeo kabla ya uchakachuzi and that is the reality!:painkiller:
 
Wakati mhe Kikwete alipopata matatizo afya pale viwanja vya Jangwani kwenye mkutano kampeni Prof David Mwakyusa alisema kuwa yeye kama waziri wa Afya angefuatilia kwa makini afya ya rais wa nchi. Sasa nimishangaa akupewa tena wizara ya Afya na kibaya zaidi ameweka kabisa pembeni.

Mkuu,

I couldn't agree with you more. Mwakyusa made a huge mistake to venture into unchattered territory. That was a reckless statement and he paid a huge price for it. That was a political suicide.
 
Zenj wana serikali yao na CUF

mchungaji namaanisha wazanzibar waliomo ktk baraza la mawaziri la muungano population ya zenj inapokuja swala la muungano yafaa kui treat kama mkoa mmoja cause kama nitakuwa sahihi zenj population yao haizidi 2 milion while mikoa mingine ina zaidi ya 2 milion katika swala la usawa naona halina nafasi hapo!
 
Huu utaratibu wa kupta mawaziri kwa kuzingaia kuwa ni lazima kila mkoa upate Waziri sidhni kama unleta tiga kwa nchi. Heb jaribu kungalia kazi ya waziri na uhusiano wa mka wake wa kuzaliwa, maendeleo ya kazi ya wizara anayoihudumia. inafsi sini mahusino and sioni ni kwa nini bado tunakumbatia hili kma kigezo.
 
Kweli Zenji wanatuibia post sana hawako hata 2million lakini wanataka wapate sawa na sisi tuko over 40million hawa jamaa wana problem sana. dawa ni kuwaacha waende kivyaovyao
 
Ni katoka ku-balance mambo, mkoa wa mbeya katoka yeye kaingia Mwakyembe sasa. Huwezi toa mawazili watatu mkoa mmoja

Inawezekana kutoa mawaziri watatu kutoka mkoa mmoja. Mbeya kuna mwakyembe, Mwandosya na philip malugo
 
Kwani jamaa si alishaongezewa "ulinzi" ndo maana akaona huyu mnyakyusa hamfai!!! hakuangalia uprofesa wa darasani kaangalia ule mwingine!!!
 
mchungaji namaanisha wazanzibar waliomo ktk baraza la mawaziri la muungano population ya zenj inapokuja swala la muungano yafaa kui treat kama mkoa mmoja cause kama nitakuwa sahihi zenj population yao haizidi 2 milion while mikoa mingine ina zaidi ya 2 milion katika swala la usawa naona halina nafasi hapo!

Inategemea mkoa upi. Zanzibar ina watu kama milion moja wakati dar peke yake ina watu milion nne. Kwa maana hiyo Zanzibar inaingia mara nne kwa dar japo haina rais na inaongozwa na mkuu wa mkoa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom