Prof. Baregu: Zitto ni mzigo


Huyo ndiye Prof Baregu kwa wale mliodhani eti anaweza kumfuata Zitto.
Aina za maprofesa wanaoweza kumfuata Zitto mbona wanajulikana jamani?!
 
Last edited by a moderator:
Mwl. Kaijage

Hapa tunazungumzia u hamnazo wa Zitto.
Kadawi Limbu ni mtu Makini Kabisa na Mwenyekiti Halali wa ACT- Wazalendo
 
Last edited by a moderator:
Hivi wanaosema Zitto ni kichwa kwa lipi? Kwa GPA ya 3.5?

Kuhusu Prof, moja ya kazi za kipuuzi alizowahi kufanya Baregu ni hii ya kushauri "mzigo".
 
Madhara yatafuatana na madhara, Habari ya shari kwa habari ya shari. Ndivyo itakavyokuwa kwenye nyumba ya wasio jielewa.
 
Baregu nae ni mzigo, hana kazi yoyote anayofanya ya maana ni profesa lakini kichwani hakuna kitu zero brain
 
Naona hadi profesa Baregu kamchoka zitto, sio siri zitto hata mi nimemchoka kwakweli nilikuwa namtetea sana.
 
WAACHE NDEGE WAPITE JUU YA KICHWA CHAKO WAONDOKE ZAO USIKUBALI WAJENGE KIOTA JUU YA KICHWA CHAKO MAANA WALIMWENGU NA MUNGU WATAKULAUMU SANA NA KUKUÖNA MBAYA KAMA NDUMILA KUWILI.
WEWE UKITUHUMIWA KUTENDA USALITI AU UOVU WAKATI UNATAKA KUUTENDA AU UMEUTENDA ACHA NA UJUE HILO NI ONYO LAKIN UKAJA UKATENDA YALE UNAYOTUHUMIWA NA YAKBAINIKA HATA KWA FIKRA NA MACHO HAKIKA HUTAWAPONA WALIMWENGU NA MUNGU KWANI WATASEMA MMEÖANA TULIYOSEMA NA NA KUMTUHUM? BAADA YA HAPO KAMA HUKUOMBA MSAMAHA KWA KUAMINI UNAAKILI NYINGI LAANA ITAKUTAFUNA NA UIMARA WAKO UTAKWISHA NA KUITWA DHAIFU,LIMBUKENI,MLAFI wA MADARAKA,MSALITI,NDUMILAKUWILI . Asante
 
Kama mnasiaga kichaa hamjamuona mmoja ni huyu hapa.
 
Hii porojo yako inahusiana nini na mjadala hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…