Prof. Baregu aivuruga CHADEMA

Katika hili Baregu amepotoka, labda naye yuko kwenye kundi la waathirika wa VVU,hivyo kujitoa atakosa yale mamilioni waliyoomba kusaidia chakula cha waathirika
 
Njaa mbaya sana, hana uzalendo, watu wanaona kila kitu katika mchakato huu wa katiba mpya CCM wanaushikilia kwa nguvu alafu yeye anajidai kutaka kuwafurahisha magamba. Aende huko.
Kwani aliteuliwa na nani? Inawezekana yeye haoni kama kuna tatizo. Kama ni chama chakd basi ameamua kupenda fedha kuliko matakwa ya chama. Kwa maana hiyo, asisikitike kwa chama kuchukua maamuzi magumu. Hivi ni kwa nini hakupata extension pale UDSM?


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Taifa kwanza vyama baadae,kinachowasumbuwa ni wivu na choyo,ya kutaka chadema ndio itengeneze katiba,watanzania wanazidi kukikimbia chama kutokana na siasa za kibabe na vurugu.watanzania hatujazoea fujo,hamieni kongo na somalia mtuache na mama yetu Tanzania.baregu juuuuuuuu!
 
Baregu ni mfano mzuri wa kuigwa,kinacho tusimbuwa ni kuona kula wazo lililoasisiwa na padri ni sahihj,amefanya wizi na ufisadi wa pesa za kanisa mkampigia makofi,leo chama kakigeuza mali yake mnamwona shujaa,kila anapimwona mwenzake amepata heshma juu ya utaalam wake anachukia ,hapendi khfunikwa kisiasa na ukionekana unang`aa tu atajufanyia hila za kila namna,anajifanya ye ndio mjuaji wa kila jambo,kwakifupi huyu babu hana analoliweza maana alikuwa padri akaasi,akawa mkurugenzi wa taasisi ya kuhudumia watoto wenye uoni hafifu akafisadi misada yote,akaoa sasa ametelekeza familia kwa kutekwa namalaya wa kihaya halafu huyu ----- ndio alitaka eti akabidhiwe nchi?watanzania tungejuuta.wangefaidi waarusha na kilimanjaro,na haitatokea Rais wa nchi hii akatokea kilimanjaro na Arusha .labda mjitenge.
 
nina uhakika hiyo habari haijasomwa na watz hata buku... gazet chafuu, ukikanyaga umechafuka... very poor, waliite m ccm njaa!
 
Njaa haina cha uprofesa wala nini,njaa ni njaa tu kwa mtu yoyote,profesa kafedhehesha sana.Nilidhania kwa level yake njaa haina msuli kwenye reasoning yake kumbe niliingia chaka.
 
Prof. Baregu hakuchaguliwa kama Mchadema bali alichaguliwa kama mtanzania mtaalaam na msomi anaeweza kusaidia Taifa lake kupata katiba mpya ..
hawezi kujitoa kutoka nafasi hii muhimu kitaifa na kwake binafsi kama mmoja ya watu walio shiriki kuipatia Tanzania katiba mpya inayotokana na maoni ya wananchi wenyewe ni kichaa tu ndio atajitoa nafasi hii muhimu

na ukiwauliza hawa chadema wanataka nini katika katiba mpya ? huwa hawana jawabu..wao huimba tu tunatka katiba sasa ipi ...ishuke kutoka juu?

fujo tu kila mahali...
 
Hakuna anayeruka kwenye pesa, mwanzoni nilimwamini sana prof. Baregu, lakini kwa jinsi walivyoshirikiana na wenzake katika kupata mabaraza ya katiba ya wilaya, sina hamu!
 
Historia itakuja kumuhukumu kama mojawapo wa watu waliochangia upatikanaji wa katiba mpya!
 
Ng'wamapalala,
Moja ya vitu navipenda kwa watu kama Ritz and the co huwa wako straight and honest kuwa wao ni CCM. So is Molemo au Mungi.
Unachonikera wewe ni kujifanya independent observer at the same time very partial and biased to CCM...!
Acha unafiki, uwe aidha objective and impartial au tangaza tu maslahi.
 
Last edited by a moderator:


Matusi Matusi Matusi, ni dalili mbaya sana. Jamani ndugu wenzangu wa CDM , kipi kizuri hapa duniani kinachowapendeza zaidi ya chama.
 

Cudos. this is a great thinking!!!
 
baregu from udsm...to chuo cha kata sasa ndani ya tume ya katiba......
 
Chadema ishirikiane kwa karibu na prof baregu ili kutengeneza katiba nzuri, bado kuna nafasi ya kutoa maoni tunayoyataka, sioni sababu ya kujitoa, haitosaidia badala yake tutatoa mwanya wa kuharibu kitu muhimu tulichokipigania kwa muda mrefu, itakuwa ni sawa na kukosa penati ya ushindi dakika za mwisho za mchezo
 
Mkuu, HT , unapoanza kunishambulia mimi kwa kunitaka niwe objective and impartial au nitangaze maslahi wakati hata wewe hujafanya kitu kama hicho unakuwa pia ni kama UNAFIKI. AVANTAR yako inagusa maneno ya Mungu, na kama ndivyo hivyo, kumbuka kitabu cha Luke 6:42 kinasema, Remove the beam from your own eye, and then you can see clearly to remove the speck from my eye.

Kwa kuongezea zaidi, Jibu langu pia liko kwenye signature yako, inayosema, The truth is the truth wether you agree or disagree.....kwa maana kuwa, kwako mabandiko yangu yanaweza kuonekana siyo objective or impartial lakini kwa mwingine yakawa tofauti.

Tukubali kutokubaliana.
 
Mi nashauri Aondolewe Baregu na nafasi hiyo Apewe Slaa maana naona ile milion 7.5 aliyoiweka kama sharti la kugombea urais haimtoshi mpika majungu huyu.

Wamezoea kufanya maamuzi chumbani kwa mtei sasa wamekumbana na kisiki.

Hongera Prof.

Amekuambia kamati kuu ndio itakayo amua, sasa hiyo kamati kuu huwa inafanya vikao vyake chumbani kwa mtei ?? acha majungu
 

Ng'wamapalala wakati unapokumbuka kukisoma na kukitaja kitabu cha Luka basi na mimi napenda kukukumbusha ukasome na kitabu cha ufunuo ambapo neno la Mungu linatuambia kwamba ni heri kuwa moto ama baridi kuliko kuwa vuguvugu kwakuwa bwana Mungu wako atakutapika utoke katika kinywa chake.

Kwahiyo naunga mkono comment ya HT kwamba ni jambo la heri ukatangaza upande unaousimamia kwa uwazi kabisa kwakuwa hiyo ni haki yako ya kikatiba kuliko kuendelea kujificha katika mwamvuli wa neutrality (impartiality). Kumbuka kwamba neutrality is a symbol of weakness!!! na mimi sitaki kuamini kwamba uko so weak...
 
Last edited by a moderator:
Reactions: HT
Mwita Maranya hii point yako ya neutrality is a symbol of weakness hata haina mashiko kwa siasa za Tanzania come 2015. Kwani hufahamu kama Tanzania ya 2015 itakuwa na Neutrality candidate ambao kwa lugha nyingine wataitwa Independent candidate. Sijui toka lini Independent candidate wakawa weakness.

Kitu kingine muhimu, Bible katika maandiko ya Matthew 6:1 yanasema, Be careful not to display your righteousness merely to be seen by people, otherwise you have no reward with your Father in heaven.

Kuna misukule wengi sana hapa JF kila kukicha wanapiga kelele na kudai wao ni wanaCHADEMA haswa wakati hata hawaifahamu Falsafa na Itikadi yake achilia mbali Katiba, Kanuni, Maadili na itifaki ya chama. Hawa kwangu ni kama makapi yanayosubiri kuwa RECYCLED na viongozi wa CHADEMA kwa jinsi wanavyopenda.

Maandiko yangu ndiyo VERITY AND IMPARTIALITY bila kujari kama yanaangaza upande fulani kisiasa.
 
Last edited by a moderator:
Ng'wamapalala,
mabandiko yangu yako wazi. Siko upande wa CCM au CDM au chama kingine chochote. mimi nasimama na Tanzania. Kwa hiyo CCM wakitenda mazuri kwa Tanzania niko nao na vivyo hivyo CDM na kinyume chake. Ukitaka kuiona bias ninayosema fuatilia tu mabandiko yangu na comment zangu.
Ng'wamapalala,
nikukumbushe tu kuwa ukifuatilia comment zako utagundua kuwa upo biased kwa CCM. Hii iko wazi kwa kuwa unakuwa too harsh issue ikiwa upande wa CDM na wakati huohuo unakuwa undecided hivi au kama unaogopa kufanya by same standard issue inapokuwa ya CCM. Hii ndio ninayoiongelea.

Lazima uwe single standard. CCM au CDM wakikosea, raise the same voice, criticise with the same harshness na shauri with the same heart. Hii issues ipo katika side comment zako nyingi sana.

Well kusema hivi haimaanishi niko perfect, lakini kama nina weakness ziseme ili nijirekebishe.
Yote kwa yote ni kwa wema na kusaidiana tukae ktk mstari kwa Maslahi ya nchi!

CC: Mwita Maranya
 
Last edited by a moderator:
...Hivi kwa akili yako unafikiri kama Dr Slaa angetaka dili la pesa na CCM ili awapotezee CDM na waTanzania -magamba watashindwa kumpa sh ngapi? au unadhani Dr hajawahi kushawishiwa kuitema CDM kwa ahadi ya pesa na vyeo?
Ukiona CCM wanaweweseka na Dr ujue mbinu zao zote zimeshindikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…