kwa taarifa yako, Taifa halihitaji watu extremists, linahitaji watu wanaoweza kuwa compromised ili kuishi na watu wote wa tabia tofauti, bora kuongozwa na mjinga anayeelewana na watu wote bila ubaguzi kuliko kuongozwa na mwenye akili mmoja mbaguzi na mwenye misimamo mikali.walikosea hata kumpa kile cheo, alitakiwa abaki tu chuoni kufundisha wanafunzi.