Prof. Anna tibaijuka in mtiifu snHapa kazi tu.
kjiweka picha yake yuko kama jambazi na huyo mwenzake sijui anakunywa sana maji?Hizi siasa za majitaka huku kwenye mitandao zinashusha hadhi ya mitandao ya kijamii.Kwani kwenye sherehe za may mosi alikuwa yeye tu.Mbona wengi walikuwepo ni nini kimekupelekea mpaka ukamsema yeye tu?Du hizi siasa za mitandoni zimekuwa kero.
Hahhaha haha mwenzio nimechungulia Hadi kwenye gari Kumtafuta Prf Ikabidi nikae kimya na ku assume Labda Prf amevaa maski la mapengounatuletea picha zako sura kama jambazi na mapengo ghaa.huyo mwenzako sijui ke au me au anakunywa maji mengi.
swissme
jamaa yuko kama jambazi na mdomo mkubwa kama viatu vya jecha yuko na mwenzake sijui ni ke au me au ndio mambo ya kunywa maji mengi pipa zima.Sasa hapo Anna Tibaijuka ni yupi, huyo white au black?
Muulizeni chenge.Hivi ile kodi yetu alilipa.maana ule mpunga ulikua mrefu sana
jamaa yuko kama jambazi na mdomo mkubwa kama viatu vya jecha yuko na mwenzake sijui ni ke au me au ndio mambo ya kunywa maji mengi pipa zima.
swissme
kumbe humu jf kuna ma mtu yanasura za kutisha ukikutana na huyu jamaa kwabza lazima uangalie simu yako kama hiko Salama.Hapa kazi tu.
Kumbe hiyo shule ni ya kata? Tulifikiri ni pan-territorial. Hesabu mbovu kujenga shule ya watoto wetu wa BK Mlandizi.Anajipendekeza ili asamehewe zile 500Mil za kodi! Ugomvi wao na Kidata bado unamuandama alipe zile 500Mil sasa yeye anakimbilia kwa Kaka Binamu Amsaidie asilipe zile maana "zirienda kwenye ire shule ya watoto wetu wa BK"....zinaerimisha wana BK kwa manufaa ya baadaye!!